Cloud's fm michezo acheni unazi na Tim flan flan chambueni zote.

francis kibiki

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
477
Reaction score
516
Kama kichwa kinavojieleza Apo juu Kuna baadh ya mechi mnazipa kipaumbele Sana kuzichambua mfano mzuri mechi ya arsenal na man u hamkuchambua mlitupelekesha tu Ila angeshinda uyo man u mngechambua Sanaa. ovaa
 
Wapuuz sana

Nilicheka kuna mmoja akamuuliza mwenzake ana mtazamo gan kuhusu top 4

Wakaanza kujiumauma eti ohoo man u ataingia top 4 na Tottenham

Ikatakiwa watoe sababu, hapo ndio nikaona clouds ni mambumbu

Et arsenal hataingia top 4 kwa kuwa ana mech rahisi

Sasa nikaajiuliza Hiv hii ndio strong reason

Yaan mule yamejaa man u yapo kishabik sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kichwa kinavojieleza Apo juu Kuna baadh ya mechi mnazipa kipaumbele Sana kuzichambua mfano mzuri mechi ya arsenal na man u hamkuchambua mlitupelekesha tu Ila angeshinda uyo man u mngechambua Sanaa. ovaa
Mzee baba Kwani umelipia tangazo ili clouds wawe wanachambua vile unataka?? Au kaombe kazi shekhe maana pia radio zipo Kama utitiri siku hizi, usiwapangie watu chakufanya kama Ambavyo ww hawakupangii chakuandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe umeliona mkuu Jana nimewaskiliza kwa makini Sana Hadi uefa kalata yao eti inaenda kwa man u. Nimecheka sana
 
kumbe umeliona mkuu Jana nimewaskiliza kwa makini Sana Hadi uefa kalata yao eti inaenda kwa man u. Nimecheka sana
Acha uongo ,nani alisema karata inaenda kwa man u.
Mmoja alisema timu itakayochukua ni kati ya juventus, barca, liverpool au man city
Mwingine akasema timu itakayochukua si hizo zilizotajwa.

Sent using simu mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…