Clouds fm mkomradhi kulea yatima watakaotengenezwa kesho fiesta???

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ndugu yangu ruge na aka joseph kwanza nawapongeza kw ajuhudi zenu ni kweli mnajitahdi
kwenye ujasiriamali na natumaini mungu anawabariki na aendelee kuwabariki wazo langu na ombi
ni kwamba kumekuwa na aibu kubwa hasa kwa watot wadogo wanaokuja uchi siku za fiesta mbaya
sio kuvaa uchi natuaini watanzania wamezoea bali ni vitendo vya kuvuana na kufanya mapenzi
ni kweli wengi awaji na chupi kwa ajili ya kwuasaidia kurekebisha shida zao wakiitaji mtu w fasta
na hawa ni wale watoto wa boarding na wengi wamekuwa wakiondoka na mimba na mwisho kuzaa watoto
wasiojua baba zao na kukosa elimu

natumaini upendi kumwagiwa uchafu wa maji pale ubungo na wale watoto sio wanapenda kumwaga maji machafu ama
kutosoma bali kutokuwa na wazazi wao halali na hivyokuishia kulazimisha watoto watunzwe na baba ...,walezi

je mko tayari kulea yatima wa kesho ???

kwamba fiesta na matamasha mengne yanayoandaliwa na fiesta ndo chanzo cha mimba zisizotarajiwa mwshowe uzaliwa yatima?

mhhhh...mhh half..half...kwan b4 clouds namatamasha yao watu walikuwa awapat mimba ovyo?walikuwa awatembei uchi uchi?walikuwa awatian ovyo ovyo popote pale fasta fasta poa?

mhh tunaisingizia sasa..INGAWA KWENYE MATAMASHA YAO WATU WANAFANYA SANA NDIVYO SIVYO BT ISNT SUFFICIENT REASON YA KUTAMKA NENO KUBWA KM ILO LA ...je wapo tayar kulea yatima....t sound like wao ndo chanzo kikuuu cha tatizo ili....

wait till their defence lawyer comes....

And here I am watching the situation very closely while getting ready to put up a fierce, spirited, and vigorous defense.

Ndugu yangu ruge na aka joseph kwanza nawapongeza kw ajuhudi zenu ni kweli mnajitahdi
kwenye ujasiriamali na natumaini mungu anawabariki na aendelee kuwabariki wazo langu na ombi
ni kwamba kumekuwa na aibu kubwa hasa kwa watot wadogo wanaokuja uchi siku za fiesta mbaya
sio kuvaa uchi natuaini watanzania wamezoea bali ni vitendo vya kuvuana na kufanya mapenzi
ni kweli wengi awaji na chupi kwa ajili ya kwuasaidia kurekebisha shida zao wakiitaji mtu w fasta
na hawa ni wale watoto wa boarding na wengi wamekuwa wakiondoka na mimba na mwisho kuzaa watoto
wasiojua baba zao na kukosa elimu

natumaini upendi kumwagiwa uchafu wa maji pale ubungo na wale watoto sio wanapenda kumwaga maji machafu ama
kutosoma bali kutokuwa na wazazi wao halali na hivyokuishia kulazimisha watoto watunzwe na baba ...,walezi

je mko tayari kulea yatima wa kesho ???

Punting your parental responsibilities to Clouds is irresponsible in itself. For now I'll leave it at that.

binaadamu wako so funny..
fiesta inakuwa na waandishi wa habari na wapiga picha tele
na kuna wadhamini ambao hawako tayari kuhusishwa na uchafu huo

sijawahi ona picha zozote za watu kuwa uchi na ku sex ovyo

siwapendi clouds lakini hili hataaa

And here I am watching the situation very closely while getting ready to put up a fierce, spirited, and vigorous defense.

let them present their case first....give them time to draft the issues......lol! Then fiercely and vigorously tackle one after the other!

Ndugu yangu ruge na aka joseph kwanza nawapongeza kw ajuhudi zenu ni kweli mnajitahdi
kwenye ujasiriamali na natumaini mungu anawabariki na aendelee kuwabariki wazo langu na ombi
ni kwamba kumekuwa na aibu kubwa hasa kwa watot wadogo wanaokuja uchi siku za fiesta mbaya
sio kuvaa uchi natuaini watanzania wamezoea bali ni vitendo vya kuvuana na kufanya mapenzi
ni kweli wengi awaji na chupi kwa ajili ya kwuasaidia kurekebisha shida zao wakiitaji mtu w fasta
na hawa ni wale watoto wa boarding na wengi wamekuwa wakiondoka na mimba na mwisho kuzaa watoto
wasiojua baba zao na kukosa elimu

natumaini upendi kumwagiwa uchafu wa maji pale ubungo na wale watoto sio wanapenda kumwaga maji machafu ama
kutosoma bali kutokuwa na wazazi wao halali na hivyokuishia kulazimisha watoto watunzwe na baba ...,walezi

je mko tayari kulea yatima wa kesho ???

hahaha ...

fffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffff
big

binaadamu wako so funny..
Fiesta inakuwa na waandishi wa habari na wapiga picha tele
na kuna wadhamini ambao hawako tayari kuhusishwa na uchafu huo

sijawahi ona picha zozote za watu kuwa uchi na ku sex ovyo

siwapendi clouds lakini hili hataaa

mkuu the boss
nawapenda clouds fm na wanajua hilo lakini hili sio siri siwaachi nawachana,,nakwambia kama uamini naomba kesho asbh amka uwahi hapo uangalie condom ngapi zilizopasuka na zilitumiwa bila kupasuka wasiotumia naomba nisifike huko
kesho asbh napita hiyo njia tujulishane

mtoa mada ana hoja ambayo inaeleweka na wale wanaohudhuria fiesta tu! Wengine tunaosikia matangazo ya fiesta tutabaki kupinga tu

mkuu the boss
nawapenda clouds fm na wanajua hilo lakini hili sio siri siwaachi nawachana,,nakwambia kama uamini naomba kesho asbh amka uwahi hapo uangalie condom ngapi zilizopasuka na zilitumiwa bila kupasuka wasiotumia naomba nisifike huko
kesho asbh napita hiyo njia tujulishane

fiesta sio bure
unalipia,ni tamasha la watu over 18
sasa sijui tunawalaumu vipi clouds hapa

Wewe hayo yanakuhusu nini? Au huna kazi za kufanya? Na hizo habari za kondomu zilizopasuka na zilizotumiwa bila kupasuka ulizijuaje? Uliwahi kwenda mwenyewe hapo viwanja Leader's kesho yake baada ya tukio ukaziokota na kuzikagua?

Acheni chuki zenu zisizo kichwa wala tumbo! Acha watu wamuinjoi Ludacris bana. Nakushauri upeleke hii crusade yako huko kwenye mabaa na magesti hausi. Waache watu wale raha kwa raha zao. Wewe kama huna maisha jibebe kama Kangaroo.

fiesta sio bure
unalipia,ni tamasha la watu over 18
sasa sijui tunawalaumu vipi clouds hapa

ndio hapo sasa. yaani siku hizi sijui kumekuwaje humu. haipiti siku bila kuanzishwa anti-clouds thread. mpaka mimi nimejiwekea 'clouds post-thread alert'. mtu akipost kitu tu kuhusu clouds napata taarifa.

fiesta sio bure

unalipia,ni tamasha la watu over 18

sasa sijui tunawalaumu vipi clouds hapa

Exactly....wamejiweke shughuli yao, na vigezo na masharti....

Watu wanata tu ku-shift the blaim! Hii ni dalili ya kukwepmajukumu yetu kama wazazi au walezi.

Tunalazimishia tu vi loop holes hata havipo!
Kama unajua unawajibika kwa under 18, just play your role! Uone kama Kusaga atamfata nyumbani!

ngoja watu waka-vunje jungu kabisa-wasubiri siku ya iddi-kwa wale wa michakato yetu hio siku imekaa vyema sana-si ya kupoteza

fiesta sio bure

unalipia,ni tamasha la watu over 18

sasa sijui tunawalaumu vipi clouds hapa

Exactly....wamejiweke shughuli yao, na vigezo na masharti....

Watu wanata tu ku-shift the blaim! Hii ni dalili ya kukwepmajukumu yetu kama wazazi au walezi.

Tunalazimishia tu vi loop holes hata havipo!
Kama unajua unawajibika kwa under 18, just play your role! Uone kama Kusaga atamfata nyumbani!

Fiesta inachochea sn maovu, mwenye mada kaeleza ukwel mtu. Fiesta imejaa mambo machafu mengi tena yanayowagusu vijana wadogo moja kwa moja. Wote mnaobisha kwanza hamuhudhurii fiesta na kama mnaenda hamuendi na girl friend zenu wala hamuwaruhusu wadogo zenu hasa wakike wahudhurie so acheni ushabidi usio wa maana jikiteni kwenye point za msingi.

Back
Top Bottom