Kidawa_hiphop
Senior Member
- Jul 7, 2018
- 184
- 274
Wakuu CloudsFm wamebadilisha Frequency au shida ni nini? hawapatikani Moshi 88.7 ni muda sana sasa na hawajibu wakiulizwa..kampuni za kibongo hazijali kabisa wateja wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji2]eti Kukoboa.Jasiri kaondoka na mengi hapo mawinguni
Kukobo yupo bize kuimarisha usafini maana kwa Sasa faida ipo pale
Mawinguni wamejaa mabishoo wanotaka mishahara mikubwa ubunifu sifuri naona kukoboa anataka wafe njaa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
WamesharudiRFA,Kiss FM siwapati Kupitia Azam Dish kwa muda wa wiki ya tatu sasa.
E fm ndo hewa kabisa apa arusha mwezi wa 4 huu haishikiHamia wasafi tu au E fm sasa😅😅🙌