Clouds FM Moshi shida nini mwezi unaenda wa pili hawapatikani?

Kidawa_hiphop

Senior Member
Joined
Jul 7, 2018
Posts
184
Reaction score
274
Wakuu CloudsFm wamebadilisha Frequency au shida ni nini? hawapatikani Moshi 88.7 ni muda sana sasa na hawajibu wakiulizwa..kampuni za kibongo hazijali kabisa wateja wake.
 
Wakuu CloudsFm wamebadilisha Frequency au shida ni nini? hawapatikani Moshi 88.7 ni muda sana sasa na hawajibu wakiulizwa..kampuni za kibongo hazijali kabisa wateja wake.
 
RFA,Kiss FM siwapati Kupitia Azam Dish kwa muda wa wiki ya tatu sasa.
 
Ni kweli mkuu niko moshi kwa ajili ya likizo toka nimekuja siipati kabisa clouds
 
Mbona Moshi radio Kibao tu. Unahangaika kisichokuwepo wakati kila Kona Burudani matata, huku Kili FM kule Banana FM. Achilia mbali maredio stations toka Hapo Nchi Jirani kama Bahari FM na nyinginezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ