Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Jana nilichelewa kidogo kulala, nilikuwa nikisoma novel huku nikisikiliza clouds fm.
Mida ya saa sita kipindi kilianza , mwanamke na mwanaume walikuwa wanaongea NGONO hadharani.
Watu walikuwa wakipiga simu na kutuma msg kuchangia.
Walikuwa wakiongelea namna ya kusugua mayai na soseji kwa mswaki, kuweka vimawe kwenye mbunye ili kuongeza utamu wa tukio.
Jamani, hivi kuongea hayo maneno mazito hadharani sio kukiuka masharti ya tume ya utangazaji na mawasiliano/

Watoto ni watundu sana, wakishtukia kitu kama hiki watakuwa wakikesha ili wasikilize hayo mambo ya wakubwa
si usiku wanajua watoto weshalala:A S-alert1:
Ila kimaadili siyo nzuri
Kwani nani ni mgeni na CLOUDS FM
Full WAHUNI
mambo mengine jamani tunawaonea, kama ni hivyo cable providers wasingeruhusiwa, kama unatumia cable fungua channels especially channel"e" kuanzia saa sita ucku, au hawa watu wa cable wako inje ya mikono ya tume ya mawasiliano , halafu kipindi kama hicho c cha kwanza mbona kulikuwa na kipindi cha chakula cha usiku na mtangazaji wake alichukuwa tuzo ya kipindi bora na maudhui ni yale yale, mimi nimgeshangaa kama kingerushwa saa mbili usiku na sivinginevyo
Kwa bahati mbaya sio clouds peka yao...:redfaces:
Siku hizi watoto wanamiliki simu....na simu zina redio....basi wanajifanya wamelala kumbe wamevaa earphones....hatari kwelikweli...
Jana nilichelewa kidogo kulala, nilikuwa nikisoma novel huku nikisikiliza clouds fm.
Mida ya saa sita kipindi kilianza , mwanamke na mwanaume walikuwa wanaongea NGONO hadharani.
Watu walikuwa wakipiga simu na kutuma msg kuchangia.
Walikuwa wakiongelea namna ya kusugua mayai na soseji kwa mswaki, kuweka vimawe kwenye mbunye ili kuongeza utamu wa tukio.
Jamani, hivi kuongea hayo maneno mazito hadharani sio kukiuka masharti ya tume ya utangazaji na mawasiliano/
Sikiliza redio tumaini
Kwani RADIO yako in station moja?
Uamuzi mzuri....
labda utushirikishe kidogo kabla hatujachangia mengi ,tuambie masharti yatume ya utangazaji na mawasiliano yanasemaje kuhusu jambo hilo?