Clouds FM na skendo ya ngono na wasanii wa kike

Wapelekeni dada zenu THT wakafundishwe vipaji, mnahangaika bure na hao watoto wanaovua chupi kwa tamaa zao, tena nashangaa sana mnapokimbilia THT wakati kila siku mnapita kona bar mnawakuta na wengine mna take advantage ya tamaa zao.
 
Mkuu I salute you kwa kuliona hili.
Inatisha sana siku hizi bongo kwa mtoto wa kike yaani anakuwa vulnerable na hawa sexual predators shuleni, kwenye kuomba ajira na hata akiwa ktk ajira. Inasikitisha

Way out is to empower a woman, empowering her si tu katika elimu, ni elimu ya kiwango kizuri pia kwenye kujitambua as a woman, her values, worth etc. Sina tatizo na mdada matured mwenye elimu zake aliyeamua kumpa bosi kwa whatever reason ila giving out your precious body as a woman to a man just because u think that no way out than that easy way that is uncool, na wanaume wanaotake advantage ya mazingira kuvua chupi innocent women it is uncool also. Ila kuna kitu kimoja ladies hatutaki kuumiza kichwa kutafuta solution ya mambo mengi yanayotuzunguka so short cut is to share that thing with a person u think can help, ila issue za down hazilast kama alivyotake advantage kwako he will to another woman in which u will be out so taking matters into actions by using nicely the head in thinking the way out other than body short cuts will reduce the extent of the problem
 
Aaaaaa
radio ya watuuuuuuuuuuuuuu........chupi zinawabana.....waache wavuliwe.......
 
Kibonde anawakanyaga watoto wa watu kama hana akili nzuri !
 
MTM umeongea point sana....uko sahihi sana..mabadiliko ndiyo yanatakiwa yafanyike
 
Du nimepitia sredi hii na naona kama kamdudu hakajasambaa, sijui!
Vijana soseji zenyu zitawamaliza!
 
KK Ungetuwekea na picha tuwaone hawa wasanii wanaohusishwa na ngono

 
ruge's list
k lin,jd,mwasit,fina,babla wengne ata nikiwatj amtowajua kwan hawakufanikiwa kutoka

joh kusaga yan mwny redio sio m2 wa madem sema msanii msanii sn

ila kuna m2 anaitwa kibonde ni balaa!!
 
Baadhi yetu ni wivu unatusumbua..!! Sidhani wengi wetu tukipata nafasi ya jinsi hiyo tunaweza kuacha kuwafanya..!!
 
ruge's list
k lin,jd,mwasit,fina,babla wengne ata nikiwatj amtowajua kwan hawakufanikiwa kutoka

joh kusaga yan mwny redio sio m2 wa madem sema msanii msanii sn

ila kuna m2 anaitwa kibonde ni balaa!!

Huyu jamaa kwenye red nilikuwa namfagilia sana zamani kabla sijaisikiliza anti-viru ya Sugu. Ila ameanza kupoteza mvuto kwangu.
 
Huyu jamaa kwenye red nilikuwa namfagilia sana zamani kabla sijaisikiliza anti-viru ya Sugu. Ila ameanza kupoteza mvuto kwangu.
ngoja nisikilize mawe ya antvirus, hv wamewah kanusha hzi tuhuma?
 
...AND LATER MBILINYI FOOKED SHYROSE BHANJI...

i may no like clouds fm culture but mbulinyi shot himself on the foot by shagging shyrose

Presumption is that these are two consenting adults and none is trying to abuse power over the other.

Mbilinyi is an MP and Shyrose a PR executive - none is taking advantage of the other.
 
Hili ndio tatizo la fani hizi.Siyo Tanzania tu ni dunia nzima.Uliza kinachowapata wasanii hata huko Hollywood.Occupational hazards ziko za aina nyingi siyo lazima kuangukiwa na kifusi tu!

Hata uweke code of conduct itakuwa kazi ngumu kuzuia abuse kama hii.Cha msingi ni Jamii kuona ajali hizi na kuziwekea mikakati kupunguza makali.Mzazi akiweza kumsaidia mwanaye na mambo madogo madogo huenda level ya abuse itapungua. Pia wasanii wenyewe kwa kiasi huchangia kuwa abused kwa kutokuwa na maadili mema.
 
Ila nao wanapenda vitu vya juu wakati uwezo hawana waache wamegwe!ila kwa wale wanaomegwa ili watoke pole zao ili mkumbuke kondom maana aka kaugonjwa kamesambaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…