Clouds FM na skendo ya ngono na wasanii wa kike

Mimi hata sijui mnashangaa nini hapo ' like mother like daughter'....! Kwan boss wao(lady jay dee) ametokea wap? Na yy si alianza kuliwa na gadner, sema 2 bahat nzuri yy aliolewa kabisa! Acha nao wafuate njia! Unajuaje kama katika masharti ya kujiunga na tht hakuna hilo sharti la kutoka na watangazaj na viongoz wa redio ya watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…