Kwale wenzangu tulio mbali! at list sasa kuna radio ya bongo on-line.. even though clouds ndio walewale but .......
sikiliza clouds hapa Radio Clouds FM - Wavuti
mi nimejuwa leo... kama walikuwa hewani sikunyingi mtanisamehe nilikuwa sijui
wanapatikana wapi hao Radio One!Mbona Radio One walianza siku nyingi zaidi?
Tupe link.Mbona Radio One walianza siku nyingi zaidi?