Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
kweli unamapenzi ya kweli na mabwana zako...kila thread inayowahusu mapovu yanakutoka...pole
Nyani Ngabu we jitoe ufahamu na wakati ukweli uko wazi.
Mbona unatumia nguvu nyingi sana katika kuwasafisha.
Mi nitaendelea kuamini na kuzungumzia maovu ya clouds yanayosemwa na wadau wa muziki kwa kuwa kwa mimi kufanya ivyo nashiriki ktk kupambana na unyonyaje wa hawa VAMPIRES. Ukwel una kawaida ya kujisimamia
Dah! Na wewe sijui umekosa bwana leo maana kila nnakoenda na wewe huyo unanifuata. Kuna tatizo kwani?
naona ruge anakufaidi sana...nataka nimsaidie kukupumulia...
Mimi napenda wanawake. Wewe unayependa kupumulia wanaume wenzio katafute mashoga wenzio mpumuliane.
kwani wew vp? acha hizo. ban...au wamwogopa bwanako...
Ku-dominate soko la muziki ni kosa? Ni vibaya? Na Lady Jay Dee anatetea haki yake ipi hasa?
Dhulumati wamemdhulumu nani, wapi, lini, na nini?