Clouds FM wamburuza mahakamani Lady JayDee, kesi yapigwa kalenda hadi Mei 27...

wamepata nafasi nyingine ya kupatia hela. hawa jamaa clouds ni zulumati sana. ndo maana jide kasema wana mamilion lakini wanatamani hata mia mbili zangu. kwa ufupi jide kawakamata pabaya. mia

Wanajaribu kumzuia asipasue jipu lingine, maana aliahidi Tarehe15 au 17 mwezi huu atafunguka kitu kingine. Mtasikia siku akitaka kufunguka Polisi zitawatoka Povu kumkamata kwa kile tulichokizoea 'Amezungumzia swala lililo mahakamani hivyo kuathiri Uhuru wa mahakama'
 
Damn....joe n ruge..y cant u let this girl go...what do u really want 4m her?...her life?????..telll me psee whatttttttt?...you are grown-ups now "thugs turned businessmen...what else do u need???

Every time one opens his or her mouth and talks about about someone, they open themselves up for legal liability.

My thing with that girl is, if she has a genuine complaint about being unlawfully exploited why didn't she go to court first instead of resorting to throwing shade through social media?

If she doesn't want herself dragged to court then she should shut the hell up and mind her own business, literally and figuratively.
 
SIO mtumishi Nyani Ngabu ni mbeba box fulani anaeganga njaa majuu kila akija Tanzania haachi kujikomba kwa akina Ruge apate kuingia bure kwenye matamasha.Jamaa ni mbwiga fulani hivi mara nyingi hata humu anafananishwa na Bilali wa Kinondoni
 
Last edited by a moderator:
Another "planned diversion" from issues of National interest.....

Will will divert our mind to follow this issue very closely...

Na siku ya siku wakitia timu tu makubulini lazima tuwapige mawe as per ''wosia wa marehemu''

Mnyonge mnyongeni na haki yake mpeni. Jide pambana dada, nyuma yako kuna kundi kubwa la watu wanaodhulumiwa na wanashindwa kupamabana kama wewe. Ukirudi nyuma umewakatisha tamaa na wengine. Mbaya zaidi hayo Mabazazi juzi tu hapa yaliongoza maandamano ya kupinga unyonyaji kwenye sanaa.
 
SIO mtumishi Nyani Ngabu ni mbeba box fulani anaeganga njaa majuu kila akija Tanzania haachi kujikomba kwa akina Ruge apate kuingia bure kwenye matamasha.Jamaa ni mbwiga fulani hivi mara nyingi hata humu anafananishwa na Bilali wa Kinondoni

 
Last edited by a moderator:
But Binti Machozi will come out triumph, the nation is behind you Jide, you are our HERO.

You lifted Olympic touch for us, we Love you Jide, don't be afraid with their money and CCM power, you have got People's Power baby...
 

nyani ngabu...usiwe mgeni wa maisha ya bongo n especially when you deal with ruge n joe....my simple question ni kuwa mbona jide ni mtu mdogo sana na walishamjibu na sie waelewa tulimuelewa vizuri ruge kwanini wamempeleka mahakamani?....na kwanini hawakumpeleka sugu mahakamani?...au kwa vile sugu mbunge na mbaya zaidi sugu anao-ushuhuda wa umafia wao??

Jide alikosea..fine, wao wakamweleza ukweli...that was enough..y beefin up wit that lady?...now they wanna drain her pockets.....hapo ndio tunaoujuwa ukweli na umafia wao tunaona hawamtendei bint fair...wapo watu wanajuwa their bones in their closet so they must be very smart over this war they are startin up...jide anapata support ya watu na mwishowe clouds wataumbuka.
 

Huyo binti kayataka mwenyewe. Timbwili kalianzisha, ya nini unamuonea huruma?

Na Jide hana support ya watu kama ambavyo unadai ingawa mtu kama dunia yako yote ni JF waweza kudhani hivyo.

Uliona nyomi lile Dodoma? Kama Clouds ni wabaya hivyo na hawakubaliki iweje nyomi lote lile lijitokeze kuunga mkono event ya Clouds?
 

The is always light at the end of the tunnel...

CCM itatoka madarakani kabla hii kesi haijaisha maana kuna miaka zaidi ya mitano ya mpambano wa kisheria kwa mashataka ya aina hii.

Na CCM ikishatoka madarakani ina maana kuwa haki zitafuatwa, radio zitapata matangazo kwa public ratings na sio kwa kufahamiana, na hawa jamaa hawatakuwa na CCM Power kuwanunua mahakimu and the public will be with Jide. These guys will be Public Enemy number one in Post CCM Era, believe me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…