King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Katika dhana ya kugawana mashabiki kwenye matamasha kati ya sugu na ruge,clouds fm kupitia straight music watafanya Tamasha siku hiyo hiyo ambayo Mh. Sugu(Joseph Mbilinyi,Mb wa Mbeya mjini) naye anazindua album yake ya ANT-VIRUS II tar. 26/11/2011.Clouds Fm wamejibu kutokana na Mh sugu kupitia kampuni yake ya Deiwaka kufanya Tamasha siku hiyohiyo ambyo nao clouds walikuwa wanafanya tamasha lao la Fiesta mbeya.
Nawasilisha
Nawasilisha