Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,650
Fuatilia matangazo ya Clouds Fm, jinsi walivyoamua kutumia umaarufu wa Bi Kidude kumfanyia biashara.
Wanaweka vionjo vya Bi Kidude, kisha wanasema 'made in Tanzania' kwa hisani ya 'Maxi Malipo' !
Sasa ni maombolezo au ni nini ?........inanikumbusha jinsi mwaka jana walivyotumia sauti ya mkuu wa kaya zaidi ya mwezi kama klip ya matangazo !