mkaamweusi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2013
- 618
- 824
Habari za kazi wadau,niende kwenye mada moja kwa moja, binafsi nawafuatilia sana clouds na semina FURSA since walipoanza mara ya kwanza, kiukweli naitambua na kuwapa heshima kubwa sana.
Nitakuwa mchoyo wa fadhila bila kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kwa RUGE MUTAHABA, i think he is the mastermind of the game, NAKASIRISHWA NA BAADHI YA watu ambao kazi yao ni kudistract spirit nzuri wanayo iplant Ruge na timu nzima ya fursa, hebu tuwe positive wadau, hata binadamu wameumbwa aina mbili 'me' na 'ke',kiutamaduni ni bora ukachagua jinsia yako kama lengo lako ni kuzaa watoto.
Ninachomaanisha ni kuwa kama lengo lako ni kupiga hatua katika maisha yako, achana na madhaifu ya mtu, au vumi ulizo wahi kiziskia kuhusu yeye, chukuwa yanayokusaidia tuu, achana na bifu zisizo na tija.
Semina zile zinaendeshwa bure kabisa, nadhani wao ni CSR yao au whatever, i dont care, pengine kunawadau wakatumia mwanya huo kutapeli wengine kuwa zinakiingilio, sijajua, but hutakiwi kulalamikia taasisi kama taasisi kabla hujayapambanua malalamiko yako,sijajua kama wale waliopangwa kuzungumza pale hawalipwi,japokuwa leo sijawapata vizuri pengine hitilafu za kiufundi,
Au kuna mtu ananufaika kuwachafua wengine huku yeye ananeemeka maana kuna watu wakiona unawabubumburusha wajinga alio kuwa anawatawala, au kuwatumia kwa manufaa yake, technically anaanza kupika sumu mbaya kwa yule mwema anayewabumburua,ili msimwamini mwema na jitihada zake ili aendelee kuwatumia anavotaka nayeye kila siku kuwa mungu mtu, yaani mchoyo wa maarifa, he just feel pleasure kuona watu hawajui technical know how, hawana motivation yoyote ya kujikwamua kutoka kwenye kifungo cha umaskini.
Yaani mfano let say kuna kijiji fulani kuna mtu anaishi maisha mazuri ya hadhi ya juu,migari ya maana na watu wengine wanamfata wanamwomba pesa,kwa kumpigia magoti hivi,wanamwona mtukufu flani hivi, anawanyanyasa anavotaka,akatokea mwema mmoja ambae anaanza kuwapa mbinu ambazo zitawafanya muwe kama yule tajiri,au kumzidi kabisa, unafikiri yule tajiri atafurahi? no,atafanya kila mbinu awachonganishe na yule mjanja,na ukitaka kumpoteza maskini,mteke fikra zake kwa kumgombanisha na tajiri,atakwamini sana,kwasababu hata umaskini wake ndiko ulikoanzia,
AMKENI JAMANI AMKENI!VIJANA AMKENI tupambane maisha siku tukifa nusu na jumla tusiache UMASKINI kwa vitoto vitakavyo toka viunoni mwetuu, tusije wafanya wakawawatumwa wa mataifa tajiri. How do you feel unapata mtoto, kwasababu tuu hukupambana,anakosa matumizi anaamua kujiuza,anaamua kuwa mwizi anachomwa moto,mama yako anaumwa huna hata pesa ya kumtoa tz umpeleke india kutibiwa,anafariki tokana na ukosefu wa pesa,network,jina ambalo wewe kama kijana wake ulitakiwa uhakikishe una weka mambo sawa?
Mwisho nimalizie kwa kugusia swala la kuongeza thamani,namwelewa sana Ruge,Hakuna jipya chini ya jua,wote wanaofaulu in business ni wale ambao wanachkua mawazo walikwisha yafanya wengine zamani,wakayaongezea vionjo flani hivi,hakuna jipya wote tunaboresha yaliyofanywa na wenzetu vizazi vilivyotutangulia,mfano aliyetengeneza instagram,lazima kuna source kwa aliyetengeneza album,hivyo basi ni jukumu lako kuangalia daily wapi unaweza kuongeza vionjo ukatoka??? mpaka ufikie target yako ya kutengeneza hela nyingi katika maisha yako,na ndio msingi wa kauli mbiu ya semina ya fursa kwa mwaka huu 2016.
Rarema,