bob nasta
Senior Member
- Apr 25, 2011
- 145
- 118
Mimi binafsi nisikiapo sauti ya kiongozi wa nchi Redioni au kwenye luninga roho hunidunda najua kuna kitu muhimu nakuja kusikia Sasa hawa wa jamaa clouds naona kama wanaitumia vibaya sauti ya Mkuu wa kaya kila mara DUNIA YAKO CHAGUO LAKO yani naona wanamfananisha RAIS wachekeshaji JAMANI SAUTI RAIS INA THAMANI au wenzangu mnaonaje