Hapo kwenye RED ndio wapi mkuu ni USA river?.......maana nitashanga kama ni Obamaland halafu wewe ndio unaongoza kwa kupost udaku wa Dar es salaam humu!!lincolin mwenyewe maneno yake ya miaka zaidi ya arobain iliyopita
Yanarudiwa na media nyingi tu hapa u.s
Ww ndio unajifanya unajua sana kuhusu itifaki..
Rudi darasani...
do you know the meaning of world wide web?Hapo kwenye RED ndio wapi mkuu ni USA river?.......maana nitashanga kama ni Obamaland halafu wewe ndio unaongoza kwa kupost udaku wa Dar es salaam humu!!
World wide web ya kuripoti mtu amefungwa miaka saba wakati kesi yake hata tarehe ya hukumu bado?do you know the meaning of world wide web?
Mwenyewe akiisikia anafurahia, wewe unalalamika lol!