Clouds media,a.k.a Simba tv

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Amakweli clouds wanazidi kujionesha wana maslahi na simba.Nilimsikia kibonde akifanya kampeni kwenye kipindi chao cha jahazi cha jana waliacha kuzungumzia maswala ya kijamii kama kawaida yao badala yake wakawa wanaizungumzia yanga nusu ya kipindi kizima huk u kibonde akiikashifu yanga kwa kumchezesh canavaro akicctiza waporwe point..na hao clouds ndo wa kwanza kupewa habari za yanga kunyanganya point.je watangazaji wa clouds ndo mahofsa habari wa tff?
 


Simuoni Cannavaro hapa wakati refa anapigwa! Alimpiga Refa saa ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…