Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Sasa ndo naamini kwamba wafanyakazi wa clouds wana Mapenzi Diamond na bado wanafurahia kazi zake,na Wana Mmiss pia isipokuwa tu wanaogopa kibarua kuota nyasi kwa vile bosi wao ana chuki binafsi na WCB,tunawatukana na kuwalaumu bure pasipo kujua kuwa ndani ya CMG wapo team WCB damu damu ila tu ndo hivyo tena mambo ya kuajiriwa lazma ukubali kulala uchi......angalia hizi picha utamuona kibonde akiwa na kitenge na kwa nyuma mzee mzima Chibu D akiperform kwangwaru...sijui ilikuwa ni party ya nini...lakini kwenye video clip inaonyesha Kibonde akiserebuka na baadae akakimbia kukwepa camera...nadhani alijishtukia...Ingia kwenye instagram ya Kitenge Maulid kuona hizo clip.
My take: Hakuna jambo zuri kama uhuru wa nafsi,mwili na akili...vijana wenzangu tujitahidi kufanya kazi sana ili na sisi tuwe mabosi wa kazi zetu kuliko kuwa watumwa.....
My take: Hakuna jambo zuri kama uhuru wa nafsi,mwili na akili...vijana wenzangu tujitahidi kufanya kazi sana ili na sisi tuwe mabosi wa kazi zetu kuliko kuwa watumwa.....