Clouds Media Group mnajidhalilisha

Clouds Media Group mnajidhalilisha

Slim

Senior Member
Joined
Nov 12, 2008
Posts
145
Reaction score
179
Nimesikia matangazo kwamba wanatoza watu pesa kwa ajili ya US Visa lottery wakati hii kitu ni bureee kabisa na mtu unatumia dk 3 mpaka 5 kujaza online form buree kabisa na ofisi ya US immigration imesisitiza hili zoezi ni bureee Bora wangejitolea kusaidia watu bure kuliko kutoza fedha ukienda ubalozi wa marekani unasaidiwa bure kwenye maktaba yao ambayo pia internet ni buree. Nawasilisha.
 
Sasa wadhani kila Mtz ana uelewa? Kama rahisi hivyo kwanini usianzishe wewe uwe wawafanyia bure
 
Weka hilo tangazo hapa, inawezekana na wewe kuna kitu hujawaelewa hao klaudz
 
Back
Top Bottom