Clouds Media Group mnajidhalilisha

Clouds Media Group mnajidhalilisha

Slim

Senior Member
Joined
Nov 12, 2008
Posts
145
Reaction score
179
Nimesikia matangazo kwamba wanatoza watu pesa kwa ajili ya US Visa lottery wakati hii kitu ni bure kabisa na mtu unatumia dk 3 mpaka 5 kujaza online form bure kabisa.

Ofisi ya US immigration imesisitiza hili zoezi ni bure Bora wangejitolea kusaidia watu bure kuliko kutoza fedha ukienda ubalozi wa marekani unasaidiwa bure kwenye maktaba yao ambayo pia internet ni buree.

Nawasilisha.
 
Clouds ilikufa na Ruge. Sasa hivi kumejaa mashoga tu na mateja.

1730568770833.jpeg
 
Back
Top Bottom