Slim
Senior Member
- Nov 12, 2008
- 145
- 179
Nimesikia matangazo kwamba wanatoza watu pesa kwa ajili ya US Visa lottery wakati hii kitu ni bureee kabisa na mtu unatumia dk 3 mpaka 5 kujaza online form buree kabisa na ofisi ya US immigration imesisitiza hili zoezi ni bureee Bora wangejitolea kusaidia watu bure kuliko kutoza fedha ukienda ubalozi wa marekani unasaidiwa bure kwenye maktaba yao ambayo pia internet ni buree. Nawasilisha.