Ungesikiliza kipindi Cha Jahazi juzi usingeandika hivi maana mambo yote waliyaongea na maswali yote yaliulizwa. Na pia sio Clouds ndo inatoza ni Kuna agents wanao saidia watu kufanya mchakato huoNimesikia matangazo kwamba wanatoza watu pesa kwa ajili ya US Visa lottery wakati hii kitu ni bureee kabisa na mtu unatumia dk 3 mpaka 5 kujaza online form buree kabisa na ofisi ya US immigration imesisitiza hili zoezi ni bureee Bora wangejitolea kusaidia watu bure kuliko kutoza fedha ukienda ubalozi wa marekani unasaidiwa bure kwenye maktaba yao ambayo pia internet ni buree. Nawasilisha.
Hiyo kitu ni free of charge mkuu kulipisha watu ni uhuni tuUngesikiliza kipindi Cha Jahazi juzi usingeandika hivi maana mambo yote waliyaongea na maswali yote yaliulizwa. Na pia sio Clouds ndo inatoza ni Kuna agents wanao saidia watu kufanya mchakato huo