Clouds washawapiga bao hao wengine, naona washamtuma Ayo huko bondeni akakamilishe taratibu zote huko...
Kibongobongo mtu akivuta ndio watu huonesha kuguswa lakini akiwa hai humtenga...
Clouds na Times wote ni wafanyabiashara tu ambao wapo kutumia fursa na si vinginevyo! Times wanachofanya hivi sasa ni kama kutaka ku-compete na Clouds; anyway wataweza lakini bado sana.....!! Tayari Clouds wameshatengeneza network ya kutosha!ruge alishasema yeye anaangalia fursa, kila kitu fursa. mia
Clouds washawapiga bao hao wengine, naona washamtuma Ayo huko bondeni akakamilishe taratibu zote huko...
Kibongobongo mtu akivuta ndio watu huonesha kuguswa lakini akiwa hai humtenga...
ruge alishasema yeye anaangalia fursa, kila kitu fursa. mia
daaah...dunia adaa..
ulimwengu shujaa...
mtu kadanja...
raia oyeee..
wanakula raha tu..
pumbavuuuuu