Nikiwa kwenye foleni nzito ya Jumamosi ya Jana iliyotokana na Mvua za Dar es Salaam, nimetune 88.5 mbele hapaendi nyuma hapaendi.
Gafla bin vuu kinaenda kuanza kipindi cha Rhumba saa 5/6 usiku. Mtangazaji DAKOTA anaingia studio anakarbishwa na wenzako kijiti, anapayuka mnifungulie Mlango!
Anaulizwa vip za Sauz kaka;
Anajibu: (kwa sauti ya tungi) GSM ni noumaaa tumetesa Sauzi ile mbayaaa hatujalala kabisa yule msenge ana pesaaa!
Yaani, MOTSEPE akija Tanzania tunaunda genge tummalize!
Aliongea shits nyingi ambazo anapaswa kuongea mtu ambaye yuko kijiwe cha kahawa mpaka wenzake ikabidi waondoke studio wamwache peke yake.
Unabaki kujiuliza hivi hizi Redio wanaajiri Profeshno au wanaajiri MCs!
Je, hawa Watangazaji wetu wanapoingia Studio upo utaratibu wa kuwapima kiasi cha Ulevi au ni ilimradi liende.
Clouds mnatangaza kummaliza Motsepe mkigeukiwa mna cha kujitetea au ndio mtadaiwa fidia mpaka mfunge Redio.
Tujifunze kuwa na staha ya midomo yetu. Weekend njema.