Clouds mnachekesha sana, Lamine Moro acheze Simba?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Clouds acheni vituko na kuchekesha. Timu kama Simba ikimchezesha Moro atakuwa anapigwa umeme kila siku. Hachezi mpira yule anacheza mieleka. Ni vile tu yuko utopolo na wanabebwa sana kwa mchezo wao wa kihuni ndio maana mnamuona huyo Moro anajituma.

Naweza kumkubali Tuisila na Tonombe pekee ila si hao wengine. Na bado wanaweza kuanzia benchi vilevile.
 
Hakuna mchezaji wa yanga anayepata namba Simba hayupo.....
Mukoko _ nafasi yake ina lwanga, mkude, mzamiru na Fraga kama atarudi( sijui).
Tuisila_ wapi unamuona akicheza? Kama Morrison hana nafasi ya kudumu.
Lamine Moro_ wawa,onyango, kennedy, Ame.
Sio pahala pakuweka mchezaji wa yanga mimi.
 
Kama waliokuwa wachezaji wao tegemeo Ajib na Morrison harufu tu ya benchi wanaipata kwa mbaali, siku moja moja, basi huu mjadala ufungwe bora tujadili tu report ya CAG!
 
Mchezaj wa yanga ambae Nina uhakika anaweza kukaa first eleven ya simba ni Tuisila pekee ,wa pil mukoko anaweza simama na lwanga yaan mukoko achukue no ya mzamiru yasin ,wengine hawafit kabisa.
 
Umewasikia wapuuzi huyo alifanya majaribio Simba ikaonekana hana kiwango hicho eti leo ndio apite

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Mukoko anapata namba simba
Mkude sio mkabaji, muzamir anapiga pasi za hovyo

Mukoko anakupa vyote hivyo anapiga pasi safi na anakaba Lwanga + Mukoko itakuwa combination ya hatari
 

Yaani Mchezaji ' injury prone ' kama Beki Lamine Moro ambaye pia hana Nidhamu Uwanjani achezee Klabu Kubwa, Mahiri na inayojitambua Afrika kama ya Simba SC? Hivi hawa ni Wachambuzi au Wachafuzi?
 
Lamine moro aliwai kuja simba kufanya majaribio Uchebe akawaambia viongozi ana mabeki wengi wa aina yake, paul bukaba na yusuph mlipili. Tena mlipili alikuwa bora kuliko uyo moro.

Tuisila labda kidogo, mukoko uyo nae mkabaji mzuri ila anapoteza sana mipira kirahisi
 
Labda wanamaanisha Simba veterani kama ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…