CLOUDS mnanufaika nanini kumpromote msanii wenu nguli ambae hakui Ali Kiba

Uncle Yoso

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
378
Reaction score
262
Ni kiri kuwa clouds media iko under uholozo wa ushabiki wa kipumbafu usiokuwa na faida.

Sijaona maana ya kuitazama hii TV Inayojifanya ya burudani nchini hivi nyie clouds hamuoni kama mnampromote mtu asiyekuwa na vision ya mziki wake maana nimekaa naangalia TV yenu haiwez kupita nusu saa bila kupiga ngoma zake na ma interview kibao yasiyokuwa na maana bora mpigieni promo huyo shemeji yetu wa RIP Boss
 
Kwa nini uangalie hiyo channel kama haikidhi matarajio yako?

Ni sawa na anayekunywa gongo huku amekunja uso lakini haachi kunywa.
 
Ni kiri kuwa clouds media iko under uholozo wa ushabiki wa kipumbafu usiokuwa na faida.

Sijaona maana ya kuitazama hii TV Inayojifanya ya burudani nchini hivi nyie clouds hamuoni kama mnampromote mtu asiyekuwa na vision ya mziki wake maana nimekaa naangalia TV yenu haiwez kupita nusu saa bila kupiga ngoma zake na ma interview kibao yasiyokuwa na maana bora mpigieni promo huyo shemeji yetu wa RIP Boss

Alikiba abebeki kabisa ni kama mzigo wa miiba!
 
Ni kiri kuwa clouds media iko under uholozo wa ushabiki wa kipumbafu usiokuwa na faida.

Sijaona maana ya kuitazama hii TV Inayojifanya ya burudani nchini hivi nyie clouds hamuoni kama mnampromote mtu asiyekuwa na vision ya mziki wake maana nimekaa naangalia TV yenu haiwez kupita nusu saa bila kupiga ngoma zake na ma interview kibao yasiyokuwa na maana bora mpigieni promo huyo shemeji yetu wa RIP Boss
Hongera sana katika kulitambua hilo kwa mtazamo wako, Tia nguvu hiyo hiyo unayotumia kufuatilia maisha ya wengine na kisha unakuja humu thredini kuandika kufanya mambo mengine yenye tija zaidi, Achana na mambo ya CELEBRITY WORSHIP SYNDROME, kununa ama kuchukia chukia watu au vitu visivyo na msingi wowote kwako, haipunguzii shida zako wala kukuongezea kula yako, Tia nia na nguvu zaidi ktk mambo yako sio kuangalia fulani yuko hivi mara fulani yuko vile, wenzio wanaendeleza kupata ugali we umekalia umbea, ushambenga na kuumia kwa vitu visivyo na msingi, Kaza baharia usinase kizembe ktk mambo yaliyo na "F" katika michongo yako, 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
 
Hongera sana katika kulitambua hilo kwa mtazamo wako, Tia nguvu hiyo hiyo unayotumia kufuatilia maisha ya wengine na kisha unakuja humu thredini kuandika kufanya mambo mengine yenye tija zaidi, Achana na mambo ya CELEBRITY WORSHIP SYNDROME, kununa ama kuchukia chukia watu au vitu visivyo na msingi wowote kwako, haipunguzii shida zako wala kukuongezea kula yako, Tia nia na nguvu zaidi ktk mambo yako sio kuangalia fulani yuko hivi mara fulani yuko vile, wenzio wanaendeleza kupata ugali we umekalia umbea, ushambenga na kuumia kwa vitu visivyo na msingi, Kaza baharia usinase kizembe ktk mambo yaliyo na "F" katika michongo yako, [emoji1374][emoji1374][emoji1374][emoji1374][emoji1374]
Umenena vyema
 
Hivi shule mnafungua lini kila siku alikiba na diamond..
Kila mtu anasapoti kile anachofaidika nacho ndio mana wengine wanamsapoti harmorapa, amberutty,queen dareen...lakini hakuna anewaanzishia uzi waacheni clouds wafanye wakipendacho kama hupendi weka channel nyingine mbona simple tu
 
Ni kiri kuwa clouds media iko under uholozo wa ushabiki wa kipumbafu usiokuwa na faida.

Sijaona maana ya kuitazama hii TV Inayojifanya ya burudani nchini hivi nyie clouds hamuoni kama mnampromote mtu asiyekuwa na vision ya mziki wake maana nimekaa naangalia TV yenu haiwez kupita nusu saa bila kupiga ngoma zake na ma interview kibao yasiyokuwa na maana bora mpigieni promo huyo shemeji yetu wa RIP Boss
Twitter na JF zimevamiwa na vijana wa Facebook imekuwa shida sana
 
Back
Top Bottom