Uncle Yoso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 378
- 262
Nimeanzisha jukwaa la wanafunzi ma moderator wamechomoa betri hawa vijana wanotupia thread kama hizi wanatakiwa kupewa elimu sahihi ya mitandaoHivi vijana kwa nini mnakuwa "wapumbavu" kiasi hiki??
Ni kiri kuwa clouds media iko under uholozo wa ushabiki wa kipumbafu usiokuwa na faida.
Sijaona maana ya kuitazama hii TV Inayojifanya ya burudani nchini hivi nyie clouds hamuoni kama mnampromote mtu asiyekuwa na vision ya mziki wake maana nimekaa naangalia TV yenu haiwez kupita nusu saa bila kupiga ngoma zake na ma interview kibao yasiyokuwa na maana bora mpigieni promo huyo shemeji yetu wa RIP Boss
Hongera sana katika kulitambua hilo kwa mtazamo wako, Tia nguvu hiyo hiyo unayotumia kufuatilia maisha ya wengine na kisha unakuja humu thredini kuandika kufanya mambo mengine yenye tija zaidi, Achana na mambo ya CELEBRITY WORSHIP SYNDROME, kununa ama kuchukia chukia watu au vitu visivyo na msingi wowote kwako, haipunguzii shida zako wala kukuongezea kula yako, Tia nia na nguvu zaidi ktk mambo yako sio kuangalia fulani yuko hivi mara fulani yuko vile, wenzio wanaendeleza kupata ugali we umekalia umbea, ushambenga na kuumia kwa vitu visivyo na msingi, Kaza baharia usinase kizembe ktk mambo yaliyo na "F" katika michongo yako, ππΌππΌππΌππΌππΌNi kiri kuwa clouds media iko under uholozo wa ushabiki wa kipumbafu usiokuwa na faida.
Sijaona maana ya kuitazama hii TV Inayojifanya ya burudani nchini hivi nyie clouds hamuoni kama mnampromote mtu asiyekuwa na vision ya mziki wake maana nimekaa naangalia TV yenu haiwez kupita nusu saa bila kupiga ngoma zake na ma interview kibao yasiyokuwa na maana bora mpigieni promo huyo shemeji yetu wa RIP Boss
Umenena vyemaHongera sana katika kulitambua hilo kwa mtazamo wako, Tia nguvu hiyo hiyo unayotumia kufuatilia maisha ya wengine na kisha unakuja humu thredini kuandika kufanya mambo mengine yenye tija zaidi, Achana na mambo ya CELEBRITY WORSHIP SYNDROME, kununa ama kuchukia chukia watu au vitu visivyo na msingi wowote kwako, haipunguzii shida zako wala kukuongezea kula yako, Tia nia na nguvu zaidi ktk mambo yako sio kuangalia fulani yuko hivi mara fulani yuko vile, wenzio wanaendeleza kupata ugali we umekalia umbea, ushambenga na kuumia kwa vitu visivyo na msingi, Kaza baharia usinase kizembe ktk mambo yaliyo na "F" katika michongo yako, [emoji1374][emoji1374][emoji1374][emoji1374][emoji1374]
we bint kama hiyo avatar ni yako njoo pm haraka sana ..ubadil maisha yako ....Umenena vyema
Twitter na JF zimevamiwa na vijana wa Facebook imekuwa shida sanaNi kiri kuwa clouds media iko under uholozo wa ushabiki wa kipumbafu usiokuwa na faida.
Sijaona maana ya kuitazama hii TV Inayojifanya ya burudani nchini hivi nyie clouds hamuoni kama mnampromote mtu asiyekuwa na vision ya mziki wake maana nimekaa naangalia TV yenu haiwez kupita nusu saa bila kupiga ngoma zake na ma interview kibao yasiyokuwa na maana bora mpigieni promo huyo shemeji yetu wa RIP Boss
Anabebeka harmonizr babyyy vipi WCB kidondakishapona???Alikiba abebeki kabisa ni kama mzigo wa miiba!