Clouds TV ( 360 ) na Clouds FM ( Power Breakfast ) mnajisikiaje kufanya Interviews na Watu wanaoharibu Serikalini?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Msipojitathmini taratibu sasa CMG ( Clouds tv 360 na Clouds FM Power Breakfast ) mnaanza kupoteza Credibility yenu kwa Audience kubwa mliyokuwa nayo.

Nyie ndiyo Media mnayoongoza kutumika kujipendekeza na kuwapamba Viongozi wenye Sifa na kashfa mbaya walioko Serikalini kwa kuwapa Airtime kubwa na hatimaye huja kutumbuliwa na Marais waliopo.

Ni wakati wenu mzuri sasa Kujitathmini.
 
Nimewahi kuwashauri mahala kwamba kipindi chao cha 360 mtu makini na mwenye uelewa wa masuala mbalimbali with independent mind ni Kipanya (Masoud) full stop. Huyu ndiye wampe hiki kipindi na akiendeshe mwenyewe bila kolabo na yeyote. Kipindi cha mahojiano kama kile huwezi kuweka waongoza kipindi wawili, waige wenzao akina Tido Mhando kule Azam au BBC etc... Sasa yule jamaa mfupi na kale kadada, hata yule Mwarabu fulani mwembamba wote hawako well informed na hawako deep kwenye key issues. Mbaya zaidi hawaonekani ni watu wanajiandaa vya kutosha kuhusiana na issues mbalimbali za wanayekutana naye kufanya mahojiano. Ndiyo maana yule Sabaya alikuwa ni full kutiririka tuu utadhani yeye ndiye mwendesha kipindi. Haiwezekani mtu ana tuhuma mpaka video clips za kuvamia watu/maduka /makazi na magari yenye namba za UN (tena mpaka wenyewe UN wakatoa clarifications) lakini wao wala hawambana anyooshe maelezo.
 
Bahati mbaya sana Kwako ( na najua hujui ) ni kwamba hata huyu Masoud Kipanya wako uliyemsifia hapa nae ni Hypocrite, Opportunist na Flatterer kama Wengineo walioko hapo CMG.
 
Nimewahi kuwashauri mahala kwamba kipindi chao cha 360 mtu makini na mwenye uelewa wa masuala mbalimbali with independent mind ni Kipanya (Masoud) full stop. Huyu ndiye wampe hiki kipindi na akiendeshe mwenyewe bila kolabo na yeyote. Kipindi cha mahojiano kama kile huwezi kuweka waongoza kipindi wawili, waige wenzao akina Tido Mhando kule Azam au BBC etc... Sasa yule jamaa mfupi na kale kadada, hata yule Mwarabu fulani mwembamba wote hawako well informed na hawako deep kwenye key issues. Mbaya zaidi hawaonekani ni watu wanajiandaa vya kutosha kuhusiana na issues mbalimbali za wanayekutana naye kufanya mahojiano. Ndiyo maana yule Sabaya alikuwa ni full kutiririka tuu utadhani yeye ndiye mwendesha kipindi. Haiwezekani mtu ana tuhuma mpaka video clips za kuvamia watu/maduka /makazi na magari yenye namba za UN (tena mpaka wenyewe UN wakatoa clarifications) lakini wao wala hawambana anyooshe maelezo.
Uko Sahihi 100% Huo Ndio Ukweli Kipindi Kimekosa Kabisa Watangazaji na waandaji
 
Msipojitathmini taratibu sasa CMG ( Clouds tv 360 na Clouds FM Power Breakfast ) mnaanza kupoteza Credibility yenu kwa Audience kubwa mliyokuwa nayo.

Nyie ndiyo Media mnayoongoza Kutumika Kujipendekeza na Kuwapamba Viongozi Wabaya ( Intarahamwe ) walioko Serikalini kwa kuwapa Airtime Kubwa na hatimaye huja Kutumbuliwa na Marais waliopo.

Ni wakati wenu mzuri sasa Kujitathmini.
Walipotoka wale wakuu wa wilaya wateuliwa Na Barbie Kabaye Nimehama Naangalia Morning Trumpets Azam Hapo Ndio Pengo la Ruge Mutahaba Linaonekana Sasa Kwenye Hii Tasnia ya Habari.
Ŕuge alikuwa anajuwa saana kupanga team kwenye vipindi
 
Siku zote Kizuri huwa hakidumu Ndugu.
 
Inasemekana Sabaya aliwaingizia watangazaji wa clouds hela katika akaunti zao
 
Kinacho sikitisha ni kuwa Nape alipoteza Uwaziri kuwatetea hawa clouds walipovamiwa na Bashite..

Ama kweli
 
Walipotoka wale wakuu wa wilaya wateuliwa Na Barbie Kabaye Nimehama Naangalia Morning Trumpets Azam Hapo Ndio Pengo la Ruge Mutahaba Linaonekana Sasa Kwenye Hii Tasnia ya Habari.
Ŕuge alikuwa anajuwa saana kupanga team kwenye vipindi
Barbie kabaye kaenda wapi.?
 
Power Breakfast na 360 ni vitu viwili tofauti..Power Breakfast hakuna upuuzi..Masoud na Ciza wanapiga spana vizuri tu.
 
Walipotoka wale wakuu wa wilaya wateuliwa Na Barbie Kabaye Nimehama Naangalia Morning Trumpets Azam Hapo Ndio Pengo la Ruge Mutahaba Linaonekana Sasa Kwenye Hii Tasnia ya Habari.
Ŕuge alikuwa anajuwa saana kupanga team kwenye vipindi
Ruge huyuhuyu Clouds yake iliokuwa ikisemwa ni tawi la CCM?..
 
aisee kweli clouds sasa wanaelekea shimoni.
wanapiga dili hatari....kula kula.
kuna jamaa mmoja huwa anasema dili likimtokea hawezi kuacha anapiga tu.
 
Back
Top Bottom