MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Bahati mbaya sana Kwako ( na najua hujui ) ni kwamba hata huyu Masoud Kipanya wako uliyemsifia hapa nae ni Hypocrite, Opportunist na Flatterer kama Wengineo walioko hapo CMG.Nimewahi kuwashauri mahala kwamba kipindi chao cha 360 mtu makini na mwenye uelewa wa masuala mbalimbali with independent mind ni Kipanya (Masoud) full stop. Huyu ndiye wampe hiki kipindi na akiendeshe mwenyewe bila kolabo na yeyote. Kipindi cha mahojiano kama kile huwezi kuweka waongoza kipindi wawili, waige wenzao akina Tido Mhando kule Azam au BBC etc... Sasa yule jamaa mfupi na kale kadada, hata yule Mwarabu fulani mwembamba wote hawako well informed na hawako deep kwenye key issues. Mbaya zaidi hawaonekani ni watu wanajiandaa vya kutosha kuhusiana na issues mbalimbali za wanayekutana naye kufanya mahojiano. Ndiyo maana yule Sabaya alikuwa ni full kutiririka tuu utadhani yeye ndiye mwendesha kipindi. Haiwezekani mtu ana tuhuma mpaka video clips za kuvamia watu/maduka /makazi na magari yenye namba za UN (tena mpaka wenyewe UN wakatoa clarifications) lakini wao wala hawambana anyooshe maelezo.
Uko Sahihi 100% Huo Ndio Ukweli Kipindi Kimekosa Kabisa Watangazaji na waandajiNimewahi kuwashauri mahala kwamba kipindi chao cha 360 mtu makini na mwenye uelewa wa masuala mbalimbali with independent mind ni Kipanya (Masoud) full stop. Huyu ndiye wampe hiki kipindi na akiendeshe mwenyewe bila kolabo na yeyote. Kipindi cha mahojiano kama kile huwezi kuweka waongoza kipindi wawili, waige wenzao akina Tido Mhando kule Azam au BBC etc... Sasa yule jamaa mfupi na kale kadada, hata yule Mwarabu fulani mwembamba wote hawako well informed na hawako deep kwenye key issues. Mbaya zaidi hawaonekani ni watu wanajiandaa vya kutosha kuhusiana na issues mbalimbali za wanayekutana naye kufanya mahojiano. Ndiyo maana yule Sabaya alikuwa ni full kutiririka tuu utadhani yeye ndiye mwendesha kipindi. Haiwezekani mtu ana tuhuma mpaka video clips za kuvamia watu/maduka /makazi na magari yenye namba za UN (tena mpaka wenyewe UN wakatoa clarifications) lakini wao wala hawambana anyooshe maelezo.
Walipotoka wale wakuu wa wilaya wateuliwa Na Barbie Kabaye Nimehama Naangalia Morning Trumpets Azam Hapo Ndio Pengo la Ruge Mutahaba Linaonekana Sasa Kwenye Hii Tasnia ya Habari.Msipojitathmini taratibu sasa CMG ( Clouds tv 360 na Clouds FM Power Breakfast ) mnaanza kupoteza Credibility yenu kwa Audience kubwa mliyokuwa nayo.
Nyie ndiyo Media mnayoongoza Kutumika Kujipendekeza na Kuwapamba Viongozi Wabaya ( Intarahamwe ) walioko Serikalini kwa kuwapa Airtime Kubwa na hatimaye huja Kutumbuliwa na Marais waliopo.
Ni wakati wenu mzuri sasa Kujitathmini.
Siku zote Kizuri huwa hakidumu Ndugu.Walipotoka wale wakuu wa wilaya wateuliwa Na Barbie Kabaye Nimehama Naangalia Morning Trumpets Azam Hapo Ndio Pengo la Ruge Mutahaba Linaonekana Sasa Kwenye Hii Tasnia ya Habari.
Ŕuge alikuwa anajuwa saana kupanga team kwenye vipindi
Clouds nao wachunguzwe na TAKUKURU.Inasemekana Sabaya aliwaingizia watangazaji wa clouds hela katika akaunti zao
Barbie kabaye kaenda wapi.?Walipotoka wale wakuu wa wilaya wateuliwa Na Barbie Kabaye Nimehama Naangalia Morning Trumpets Azam Hapo Ndio Pengo la Ruge Mutahaba Linaonekana Sasa Kwenye Hii Tasnia ya Habari.
Ŕuge alikuwa anajuwa saana kupanga team kwenye vipindi
Ruge huyuhuyu Clouds yake iliokuwa ikisemwa ni tawi la CCM?..Walipotoka wale wakuu wa wilaya wateuliwa Na Barbie Kabaye Nimehama Naangalia Morning Trumpets Azam Hapo Ndio Pengo la Ruge Mutahaba Linaonekana Sasa Kwenye Hii Tasnia ya Habari.
Ŕuge alikuwa anajuwa saana kupanga team kwenye vipindi