only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,343
- 2,527
...Jamani hii Clouds Tv inaboa sana na sijui kama wamiliki wake wanaliona hilo....Quality ya picha,sauti graphics ni za chini sana na watangazaji wake wengi hawana skills za kutangaza kwenye Tv.Kuna siku nilikuwa nafatilia kipindi chao cha Sports Bar jamaa wanakooa studio,wanaongea wakati matangazo yanaendelea na unawasikia basi ni kero juu ya kero.....