Clouds tv bado sana....................

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
5,343
Reaction score
2,527
...Jamani hii Clouds Tv inaboa sana na sijui kama wamiliki wake wanaliona hilo....Quality ya picha,sauti graphics ni za chini sana na watangazaji wake wengi hawana skills za kutangaza kwenye Tv.Kuna siku nilikuwa nafatilia kipindi chao cha Sports Bar jamaa wanakooa studio,wanaongea wakati matangazo yanaendelea na unawasikia basi ni kero juu ya kero.....
 
Hawa jamaa mi naona wange stick kwenye radio tu,cus huko hawana mpinzani..upande wa television wanachemka kwa kweli.
 
Jaman mbona wametoa no zao hili mpeleke maoni..mmepeleka au mnalalamika?
 

Jamani kuendesha television siyo mchezo. Wao wangetulia kwanza na redio. Huko kula kitu ni gharama tena ni gharama kubwa sana. lakini tuzidi kuwaombea katika kufikisha ajira milioni 1 plus
 
Wameanzisha lini TV?

Wapi kwenye internet naweza wasikiliza au ona mie nimemiss vipindi vyao?
 
dah jaman mbuyu wenyewe ulianza kama mchicha mbn mitambo yao ipo strong wenda ww una antena ya kichina sound saf waachen wachape mzgo sema kwenye vpnd ndo wana chemka
 
Bado kabisa inabidi mafisadi wawasaidie kwani inaweza kuwa tv nzuri kujisafishia......si mnakumbuka walivyowapigia debe mafisadi wakisubiri fadhira wakiongozwa na kibonde na baada ya kupata mgawo kidogo wa fedha za mafisadi kapiteni gardner akaamua kujitoa?>........
 
Ni jukumu lao kuyatafuta pia na hapa wanaweza kuyapata
Si kila kampuni ya matangazo, wanaingia JF...!

Kama una mapenzi na tasnia ya media, basi unapaswa kuwafahamisha mapungufu yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…