Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuajili mtu kama Salim Kikeke akutengezee mambo unadhani Wana huo mshahara wa kumlipa?
Nasikitika sana sijui wanakosea wapi, hawapo kama wenzao wa Clouds Radio! Sijui wanafeli wapi?
Au ni bahati mbaya kwangu kila nikiingia kuiangalia nakuta vipindi visivyoeleweka.
Kama usiku wa Jana manyimbo TU yasiyoeleweka.
Mimi nadhani jamii ndio tatizo, maana wanapata audience. Binafsi nafuatilia international TV than local maana media house hazipo Tanzania
Nasikitika sana sijui wanakosea wapi, hawapo kama wenzao wa Clouds Radio! Sijui wanafeli wapi?
Au ni bahati mbaya kwangu kila nikiingia kuiangalia nakuta vipindi visivyoeleweka.
Kama usiku wa Jana manyimbo TU yasiyoeleweka.
Hiyo Uhai Iko kwenye decoder Gani!?Tv za bongo karibu zote hazina maudhui ya maana kuanzia kwa watangazaji hadi aina ya vipindi.Mm binafsi hiyo channel sionagi cha maana kuangalia huko.
Zaidi utaona kama ni watangazaji wanaongea TU kwa kubishana na makelele bila kupeana nafasi za kuzungumza.Kuanzia asubh hadi jioni ni miziki wakitoka hapo kidogo ni uchawa basiii.Kwangu uhai TV ndiyo naona wana makala nzuri kuangalia tofauti na huko mawinguni,Afrika masharaki,zamad nk hakuna kitu.
Ni U tv ipo azama free channelHiyo Uhai Iko kwenye decoder Gani!?
Ni U tv ipo azam free channel