Mao ze dong
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 941
- 1,012
Wangeionyesha ningechukua kama ilivyo na kuichambua uoni jinsi shetani anavyowadanganya kwa kutumia secrete signs and symbols akiwa jukwaani,tafuta video zilizochambuliwa you tubu.hapa kuna siri ya kutokuinyesha ambayo kubwa ni hiyo nothing else
Aisee hivi wewe una akili timamu kweli? yaani mtu imuume kutohudhuria show ya Rick Ross wakati CD zipo? ni kwa nini mtu alipie kwenda kusikiliza Cd wakati hata nyumbani unaweza kusikiliza?
Zipo show ambazo ukikosa ni kweli utaumia mfano show za kiwango cha Michael Jackson, Wenge Musica BCBG, Koffi Olomide, Fally Ipupa and likes. na siyo show za kwenda kusikiliza Cd, mtu makini anataka Live band.
umejuaje hana punzi wakati ulilala