Clouds TV sasa imejifia kimya kimya

Clouds TV sasa imejifia kimya kimya

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
Ni siku kadhaa sasa clouds Tv haionekani kwenye kingamuzi za Azam. Wenyewe wapo kimya hakuna updates wala taarifa yoyote kama kuna tatizo ama lah. Sio kawaida kwa Tv station kama Coluds kua na kimya cha namna hii.

Ilitegemewa baada ya Wasafi Tv kufungiwa wao wangejitahidi kuteka soko ila inaokenana ndo wanazidi kutumbia shimoni.
Kunani kule Clouds?
 
Ndio hivyo toka majuzi hawapo hewani. Bado hatujajua shida ni nini
 
Clouds TV mimi kwangu sana sana naelewa 360 tu..mengine naona hayakuandikwa kwaajili yangu.
 
Clouds tv imekuwa inabebwa na clouds fm. Ila haijawai kuwa na jipya.
 
Back
Top Bottom