Nasikitika kusema kipindi cha leo cha take one kilichorushwa na clouds TV ni kipindi cha uzalilishaji kwani wamekiuka miiko kwa kumuonyesha live binti aliyekuwa anafanyishwa mapenzi bila idhini yake.
Kama wametaka maelezo ili iwe fundisho kwa wengine ni bora wangeificha sura yake kwa shades ili watu wasimtambue. Sijui hii media kama inafanya kazi zake ki-professional kwakweli. Wakuu embu nisaidieni maana nimeshikwa na butwaa macho kunitoka kama udagaa
Nasikitika kusema kipindi cha leo cha take one kilichorushwa na clouds TV ni kipindi cha uzalilishaji kwani wamekiuka miiko kwa kumuonyesha live binti aliyekuwa anafanyishwa mapenzi bila idhini yake...
Hawa jamaa na radio yao hawana maadili ni kukurupuka tu
...Walipaswa kuficha uso wa huyo Binti mdogo...Clouds bana...wao ni watu wa Mingo na Bingo...hawajali kama wakati wa kusaka Bingo kwenye mingo huwa wanaharibu!
Tatizo wamezoea kuhoji watu wenye mikasa kama hiyo katika kipindi cha Njia Panda...wakasahau kuwa ukihoji watu na kuonyesha kwenye TV, picha huwa zinaonekana....
Yaani sijui nani anaongoza urushaji wa vipindi kwenye hii TV. I guess too much-know inawapelekapeleka
Take it from me hawajasahau kabisa bali wameona sifa kuonyesha sura yake
Binti alikuwa akipiga makelele na kufurukuta wakati wa tenso? just curious kujua umejuaje kwamba binti alikuwa analazimishwa ku-do
Nasikitika kusema kipindi cha leo cha take one kilichorushwa na clouds TV ni kipindi cha uzalilishaji kwani wamekiuka miiko kwa kumuonyesha live binti aliyekuwa anafanyishwa mapenzi bila idhini yake.
Kama wametaka maelezo ili iwe fundisho kwa wengine ni bora wangeificha sura yake kwa shades ili watu wasimtambue. Sijui hii media kama inafanya kazi zake ki-professional kwakweli. Wakuu embu nisaidieni maana nimeshikwa na butwaa macho kunitoka kama udagaa
Nasikitika kusema kipindi cha leo cha take one kilichorushwa na clouds TV ni kipindi cha uzalilishaji kwani wamekiuka miiko kwa kumuonyesha live binti aliyekuwa anafanyishwa mapenzi bila idhini yake.
Kama wametaka maelezo ili iwe fundisho kwa wengine ni bora wangeificha sura yake kwa shades ili watu wasimtambue. Sijui hii media kama inafanya kazi zake ki-professional kwakweli. Wakuu embu nisaidieni maana nimeshikwa na butwaa macho kunitoka kama udagaa
Nasikitika kusema kipindi cha leo cha take one kilichorushwa na clouds TV ni kipindi cha uzalilishaji kwani wamekiuka miiko kwa kumuonyesha live binti aliyekuwa anafanyishwa mapenzi bila idhini yake.
Kama wametaka maelezo ili iwe fundisho kwa wengine ni bora wangeificha sura yake kwa shades ili watu wasimtambue. Sijui hii media kama inafanya kazi zake ki-professional kwakweli. Wakuu embu nisaidieni maana nimeshikwa na butwaa macho kunitoka kama udagaa
exactly uko right
wamem haribia life binti wa watu
hataweza leo kuigiza tena filam