Kwa hizi redi unaonekana hauhusiki kabisa na kitendo walichofanya clouds kama kipo kweli! Nakushangaa pilipili usiyoila yakuwashia nini? Waache wanaoona hawajatendewa haki walalamike wenyewe. Siyo wewe third party!!Clouds wamewatapeli mashabiki kwa kuwalipisha sh 10000 kwa ajili ya kushuhudia shoo ya DMX na fabulous na kuwahadaa wasanii wa kitanzania kuwa watapanda jukwaa moja na manguli wa muziki kutoka marekani. Hivi haiwezekani hawa jamaa mashabiki wao wakawashitaki kwa utapeli walioufanya kwa ajili ya masilahi yao binafsi?
Kwa hizi redi unaonekana hauhusiki kabisa na kitendo walichofanya clouds kama kipo kweli! Nakushangaa pilipili usiyoila yakuwashia nini? Waache wanaoona hawajatendewa haki walalamike wenyewe. Siyo wewe third party!!
Ndo maana kuna raia kazi zao ni kutetea haki za wanyonge. Wazee wa law imekaaje hii?Kwa hizi redi unaonekana hauhusiki kabisa na kitendo walichofanya clouds kama kipo kweli! Nakushangaa pilipili usiyoila yakuwashia nini? Waache wanaoona hawajatendewa haki walalamike wenyewe. Siyo wewe third party!!
mkuu hata mimi nawashangaa sana ...
kweli hainihusu kwa sababu nilienda kwa vinega na nikapewa burudani ambayo thamani yake ni kubwa kuliko shilingi niliyoilipia ila inaniuma kuona wewe sharobaro rejao na wenzako ambao ni watanzania wenzangu mkidhulumiwa stahiki zenu!!kwa hizi redi unaonekana hauhusiki kabisa na kitendo walichofanya clouds kama kipo kweli! Nakushangaa pilipili usiyoila yakuwashia nini? Waache wanaoona hawajatendewa haki walalamike wenyewe. Siyo wewe third party!!
Kama unasema kuna dhuluma, hao vinega wapo wapi kimuziki? wale ambao unaona wanadhulumiwa ndio wana excel. Kwa muziki wa Tanzania kuwa against clouds ni kama kujiia kisanii. Tamasha la sugu limefanikiwa ndio, then what is next? kumbuka hiyo ilikuwa one day event na baada ya hapo hao vinega watarudi mtaani kuumia tu cuz hawatakuwa na kuwabeba.kweli hainihusu kwa sababu nilienda kwa vinega na nikapewa burudani ambayo thamani yake ni kubwa kuliko shilingi niliyoilipia ila inaniuma kuona wewe sharobaro rejao na wenzako ambao ni watanzania wenzangu mkidhulumiwa stahiki zenu!!
Kwa hizi redi unaonekana hauhusiki kabisa na kitendo walichofanya clouds kama kipo kweli! Nakushangaa pilipili usiyoila yakuwashia nini? Waache wanaoona hawajatendewa haki walalamike wenyewe. Siyo wewe third party!!
harakati bado zinaendelea unadhani hizi harakati zimeanza juzi hebu sikiliza nyimbo za sugu kidogo utaelewa sharobaro rejao!!kama unasema kuna dhuluma, hao vinega wapo wapi kimuziki? Wale ambao unaona wanadhulumiwa ndio wana excel. Kwa muziki wa tanzania kuwa against clouds ni kama kujiia kisanii. Tamasha la sugu limefanikiwa ndio, then what is next? Kumbuka hiyo ilikuwa one day event na baada ya hapo hao vinega watarudi mtaani kuumia tu cuz hawatakuwa na kuwabeba.
kwaniutapeli gani ulitokea kwenye show ya clouds? Dmx hakupanda?
Hapo wa kulaumu ni washabiki walishaelezwa kabisa na sugu
Njia ya kutafuta haki ni ngumu na ndefu sana kijana,imemgharimu mandela umri wako,ustawi wa south africa wa leo ni matunda na mateso wa kina steven bikko,walte sisulu,madiba na wengine wengi,naamini watafanikiwa na kuna cku wataungwa mkono na wanamuziki wote wa bongo,nigeria wanamuzi wa pale wanakula matunda yao sasa na kuthaminiwa cos ya umoja wao,amini nachokuambia ipo cku haina jina wanamuziki wa bongo wataungana na kupigania haki zao,kimtezamo vinega wapo hatua ya pil mbele cos safari hatua na huwa na mwanzo na huu ndio mwanzo wa safari ya usawa na hakiKama unasema kuna dhuluma, hao vinega wapo wapi kimuziki? wale ambao unaona wanadhulumiwa ndio wana excel. Kwa muziki wa Tanzania kuwa against clouds ni kama kujiia kisanii. Tamasha la sugu limefanikiwa ndio, then what is next? kumbuka hiyo ilikuwa one day event na baada ya hapo hao vinega watarudi mtaani kuumia tu cuz hawatakuwa na kuwabeba.
kwaniutapeli gani ulitokea kwenye show ya clouds? Dmx hakupanda?