JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Kuna za kunyapia kuwa clouds wali cancel booking ya msanii mkubwa wa kimataifa toka Marekani na wengine wakubwa kutoka Nigeria, Ghana, zimbabwe na South Africa, katika moja ya show ambayo ingeweka historia ya fiesta kufuatia show ya Castle lite, ila walihofia hali ya sintofahamu baada ya mkutano wa bashite na baraza la wahariri ambapo bashite alikataa kuomba radhi kwa clouds.
Clouds wanahofia bifu la kimya kimya kuweza kuwafilisi endapo watagharimia uwepo wa wasanii hao kwenye finali ya fiesta Dar alafu bashite akapiga marufuku tamasha hilo hatua za mwisho.
Tetesi ni kuwa clouds ingewagharimu pesa nyingi kumleta mkali wa nyimbo ya "i'm the one" toka marekani ambaye ni raia wa Canada endapo show ingeharibika ingepelekea kufilisika na kupelekea mgogoro mkubwa kati ya clouds na mfadhili wao mkubwa.