biashara gani sasa hapo?Bosi wa Clouds na WCB ni mtu mmoja.
Matukio yote haya ni juu.ya biashara, hakuna lingine.
Mbona mnatusingizia sana sisi tunaovuta bangiAlisikika mvuta bhangi mmoja[emoji115][emoji115]
Ongeza volume huku nyuma hawakusikiiMke wa Kusaga anaimiliki WCB then unategemea nini hapo.
Acha ubahili, baisa ni sawa na coins tu, weka kama souvenir, hakuna sehemu wanayobadilisha bongo.Sorry wapi naweza badili fedha ya Oman baisa
Anammiliki na mke wako pia etii!!waswahili bana
mmiliki wa clouds ndio huyo huyo mmiliki wa wasafi bwana kusaga
mengine ujinga wako
Anammiliki na mke wako pia etii!!
Nonsense..!!
Hiyo ni Clouds Plus na sio CloudsTV..usichanganye madesa WCB hawasiki CloudsFm,CloudsTv na ChoiceFm
Classic Fm na Clouds plus ni biashara nyingine za kusaga,ila hajaziintergrate moja kwa moja na Clouds media..Clouds Plus na Classic Fm zinatofauti gani na Clouds Tv,Fm na Choice Fm?
Hmm!!hii Classic FM ndo ikoje?Classic FM si ili'change toka enzi za T.I.D ni presenter pale hadi saiv ikawa Magic FM..Au mnazungumzia Coconut FM ya Zenji ambayo ndo part ya CMG?Classic Fm na Clouds plus ni biashara nyingine za kusaga,ila hajaziintergrate moja kwa moja na Clouds media..