Ya diamond yametoka wapi? mm naongelea kwa wasanii wote hapa kuna kua kama kuna matabaka ivi km kuoa mbna hata stamina kaoa ila hajaalikwaTatizo liko wapi?
Halafu Diamond si alisema radio ambayo haichezi ngoma zake inakosa wasikilizaji?
Sasa mbona leo kutwa nzima mirejesho ya kinachoendelea clouds inaletwa humu?
Nilitegemea kusiwe kuna yoyote atakaye pay attention kwenye hicho kitu ila naona hali ni tofauti!
Wabongo tunaongoza kwa unafiki
Tazama hili tukio kama brandy, utagundua kuwa management ya kiba inaproject ya kupromote brandy yao inayoitwa Ali Kiba na ni brandy inayoanza kuuza kinywaji ktk baadhi ya nchi za africa.Leo mawingu tv kumnadi msanii kuanzia vipindi vya asubui mpaka vya usiku na mapicha picha kwenye mitandao imekaaje? kisa tyu anaachia ngoma au ndio yale anayosema roma NGOMA INATOKA SEPTEMBER NOVEMBER IMESHACHUJA. Au ndio mbeleko ya chuma
Matabaka kwenye biashara ni muhimu sana, kwasababu kama wewe meneja wako anagongea fegi kwa presenter kuna mwenye meneja ambaye anawekeza kwenye media nzima kwa cash mezani yaani kwa kifupi meneja anayenunua air time siku nzima kupush brandy yake lazima awe tabaka tofauti kabisa na meneja wa niki mbishi ambaye anadiss mameneja na watangazaji.Ya diamond yametoka wapi? mm naongelea kwa wasanii wote hapa kuna kua kama kuna matabaka ivi km kuoa mbna hata stamina kaoa ila hajaalikwa
Wewe unachambana mtandaoni wakati hao kina nandy, aslay nk wanavyochezwa hewani ni tangazo la biashara ambapo msanii ananunua airtime alafu anauza shows na mziki wake yaani kwakifupi tangazo la vodacom litachezwa tu siku nzima hadi bibi yako alikariri hata kama hulipendi na matokeo ya airtime hiyo wenzako wanashawishika wanunua bidhaa ya voda simu,internet, mpesa then voda wanakuwa wameshatengeza pesa ya kutosha sana ndiyomaana biashara bado zipo. So tazama hao wasanii kwa jicho la biashara alafu tafakari wewe unaingiza sh.ngapi kwa mwezi?Mzigo wa mwizi haubebeki
Wameachana na ASLAY&NANDY TENA,AU WASHAWATUMIA KAMA NDOM WAMEWAACHA.
JAMAA WANAHANGAIKA NA WCB MPAKA BASI,TUMEPIGIWA NYIMBO ZA ASLAY NA NANDY WEEE MPAKA KERO.
WACHA WAENDELEE KUCHUJA TU
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza,majibu mmtaani mzeeWewe unachambana mtandaoni wakati hao kina nandy, aslay nk wanavyochezwa hewani ni tangazo la biashara ambapo msanii ananunua airtime alafu anauza shows na mziki wake yaani kwakifupi tangazo la vodacom litachezwa tu siku nzima hadi bibi yako alikariri hata kama hulipendi na matokeo ya airtime hiyo wenzako wanashawishika wanunua bidhaa ya voda simu,internet, mpesa then voda wanakuwa wameshatengeza pesa ya kutosha sana ndiyomaana biashara bado zipo. So tazama hao wasanii kwa jicho la biashara alafu tafakari wewe unaingiza sh.ngapi kwa mwezi?