clouds wanatumika kuichafua simba

Nilimsikia Shafii siku ambayo Yanga walifungwa na Mbeya city aliongea kwa hisia kabisa kwamba goli la pili ambalo walifungwa Yanga walionewa, Sijui alitumia sheria zipi .
Pili mashabiki ,wanahabari na viongozi kwa ujumla walianza kupenda hivi vilabu kabla ya kupenda mpira ndio maana linapokuja suala la uchambuzi hasa unaohusisha hivi vilabu ,watu wanatanguliza ushabiki mbele.
 
Nimemshangaaa sanaa hanz pope jana akiwatuhumu wachezaji wa simba live kwenye TV kuwa kwenye mechi karibia zote za raundi ya kwanza walicheza chini ya viwango vyao na akahaidi kuwakomesha kwa kuwaletea wachezaji 'ma-expart' ili wawafundishe wajibu wao.......
timu ilikuwa imeanza ku stabilize sasa viongonzi wa matopeni wana anza kuivuruga
 
huyo jamaa mbona kuna wakti humuhumu watu walikuwa wakimtuhumu ni mwekundu kindakindaki?

tushike lipi?
 
Hahahahahaha
Hapa mtaani kuna mwizi sugu ameshinda mil.10 za bahati nasibu .
Alipoulizwa what he will do with such kind of money?
Akasema he wants to expand his business. Mimi sijamuelewa na sasa hivi watu wameanza kuhama mtaa...
 
Shafii Yanga?
Huyo ni mwanachama wa Simba hadi aligombea ujumbe kama sikosei.
Labda anajaribu kuwa objective
Ni kama Kumwembe. Ni Simba lakini nitajitahidi kuwa objective japo wakati huzidiwa!
Ni kweli shafii Ni simba damu
 
washabiki wayanga wanasema shafii simba washabiki wasimba wanasema shafii yanga..!!huwenda mkawa kundi la mashabiki msio jielewe mnaongozwa na munkari kama wanawasema vibya kwanini msibullshit hiyo redio yao kwanini hamuwatumii comment zenu kwenye page zao au sim ya hapo studio wajifunze
 
Hapa mtaani kuna mwizi sugu ameshinda mil.10 za bahati nasibu .
Alipoulizwa what he will do with such kind of money?
Akasema he wants to expand his business. Mimi sijamuelewa na sasa hivi watu wameanza kuhama mtaa...
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ doh! Hameni tuu maana eneo hilo sii shwari.
 
Hawa clouds kipindi cha sports wanatumika kuichafua simba na kuidhoofisha eti tunachinja paka.......ndo tushinde. walete udhibitisho!!!! Watu wengine bhnana
Ila simba mapaka sasa yanawarudia wenyewe, mtakoma miakaa hii, Yanga ileeeeeee inayoyoma, mtaishia mchani tu na mwakani tumo tena kimataifa zaidi. VPL tunachukua kulinda heshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…