Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,044
Nidhamu ya kazi hana, plus alivujisha nyimbo bila kufuata utaratibu. Alipoambiwa kuhusu hio ishu akapiga bunda!!Unajua sababu yao ya kumtema mkuu
That's very trueNidhamu ya kazi hana, plus alivujisha nyimbo bila kufuata utaratibu. Alipoambiwa kuhusu hio ishu akapiga bunda!!
Na nirekebishe sehemu; Hawakumfukuza ni yeye aliesepa Hanscana Brand. Na kipindi anakula kona audio ya Chibonge ilikwisha toka ila video haikuwa tayari.. Abbah (mmiliki wa nyimbo) akamwomba Hans japo ampe ushirikiano washuti video akawa anapiga chenga na kwa ukubwa wa nyimbo kuitoa video bila msanii kuonekana na sauti zinapita haikuwa option ya Abbah ndio maana G nako sasa.
Ziwekeni hapa.. Hatuzijui.Kazitaja Hapo Juu
1.acha Ipite
2. I miss you mama
People posting hisia zao bila kuwa rational.That's very true
Kumbukeni ile ni mali binafsi sio redio au tv ya umma kwamba kila msanii ana haki ya kupigiwa wimbo wake. So vigezo na masharti kuzingatiwa, wabongo wagumu sana kuelewa.Kumbe Ruge mlikuwa mnamsingizia tu hiyo ni POLICY yaan "Terms and conditions apply" ya CMG.
Dogo hata wachezaji huwa wanatemwa na team wakishindwa kuelewana kweny maslah.Unajua sababu yao ya kumtema mkuu
Tuache Kulialia sasa,Wasafi TV ipo tunalialia nini tena?Kumbukeni ile ni mali binafsi sio redio au tv ya umma kwamba kila msanii ana haki ya kupigiwa wimbo wake. So vigezo na masharti kuzingatiwa, wabongo wagumu sana kuelewa.
Wale wapo kibiashara wanaangalia faida so mkishindwa kuelewana na mteja hakuna biashara
Ni sawa na hapa jf unaweza hata kupigwa life ban
Hili suala Ruge aliwahi kulifafanua vizuri sana
Hit zinatafutwa tena?Zitafte mkuu binafsi nazikubal labda uangalie na ww
kutokujielewa now CMG wanapoteza mvuto bado wanaule mtizamo wao Kuwa wanaweza kumpandisha&kumshusha msanii kimziki nakumbuka walijaribu... Kiba mara aslay... Nafikiri mbeleko zilitoboka now nyimbo zinazoongoza chat CLOUDS hazina views wakutosha pia hazi trend YouTube and very local songsKumbe Ruge mlikuwa mnamsingizia tu hiyo ni POLICY yaan "Terms and conditions apply" ya CMG.
Miongoni mwa upcoming starz wanaofanya poa kwenye gemu la mziki wa bongofleva in msanii 'Hanstone'. Kijana anafanya poa sana kama walivyo kina Marioo, Mbosso Khan, Whozu na wengine kama buku ila huyu kijana wee weka mbali na watoto.
Kijana huyo jina lake ni Hassan Ramadhani Masanja mtoto wa aliyekuwa gwiji wa mziki wa kitanzania marehemu Banza Stone aliyetamba kwa vigoma kama Elimu ya mjinga, Supu ya kuku wa kienyeji na mtaji wa maskini anasema atamkumbuka baba yake sana kwani alikuwa mstari wa nyuma kwenye mziki licha ya kumshauri aachane na mziki ajikite kwenye Elimu
IPO HIVI, baada ya mzazi wake kutangulia mbele za haki, kijana huyo mwenye umri wa miaka 19 aliamua kumuenzi kupitia mziki na alianza kuonekana kupitia kibao cha iokote alichoshirikishwa na msanii Maua Sama.
Hata mtoto mdogo anaweza kukuambia Hanstone in nani kupitia ngoma hiyo. Baadae kijana Hugo aliamua kutoa ngoma yake mwenyewe 'acha lipite' akaja na 'i miss you mama' ngoma bora kuwahi kutokra kwenye historia ya bongo fleva.
Radio Mawingu waliweza kumpa support ya kufa raia hadi akatamba bongo mwishoni mwa mwaka jana na mwaka huu mwanzoni 2018/2019 lakini saivi mambo yanaanza kwenda kombo.
WCB WAHUSIKAAA.
Inasemekana kwamba miongoni mwa sababu kuu za kuzimwa na radio Mawingu basi Wasafi media inahusika kutokana na uhasama uliopo haina ya Mawingu na WCB.
Baada ya Hanstone kuonekana pamoja na CEO wa WCB Diamond platnumz na baadhi ya mamaeneja wake ikadaiwa kwamba msanii Huyo anaweza akasajiliwa na Wasafi hivyo Mawingu wakaanza kumuweka kando.
CHIBONGE YAHUSIKAA
Baada ya kijana Hugo kutoa kollabo Kali pamoja na Marioo ya Chibonge basi clouds wakakataa kuipa promo hapo nyimbo yenyewe kwa kuwa ni kali ikajipa promo yenyewe.
Ili kumzima Hanstone, Mawingu walikuja na mpango wa remix ambayo ilishirikisha Marioo, Abbah na G. Nako ambayobimepewa nafasi za juu sana kwenye chart yao ya top 20 lakini kiuharisia ngoma hiyo haijaifikia ile ya awali hata nusu.
Wale wanaojua kusoma nyakati naamini mtanielewa, kwa leo niishie hapoView attachment 1156556
Embu weka hapa ..huyo Abba process alisema nini kuhusu huyo dogo??We jamaa Muongo sana na utachomwa moto mbaya sama..Nakushauri mtafute Abba process akupe stor kamili kuusu uyu dogo..clouds wana matatizo yao lakini kwa hili si ukwel unawaonea bure
Huyo Abba kasemaje kwani??mnaposema tutamfute tumtafutaje kwa mfano?? Na je atakuwa willing kueleza huo mkanda kwa kila mtu?We Jamaa acha uongo ,mtafute ABBA akupe mkanda mzima Wa huyo dogo