Cloutus Chama anaondoka Simba

Ila kwa bongo sishangai,yote yanawezekana.kama iliwezekana kwa shishimbi inashindwaje kwa chama,nani kaona akisaini mkataba.tatizo soka la bongo ukanjanja mwingi hakuna uwazi,wamejaa wapiga dili tu.
 
baada ya kufungwa na timu ya 'wananchi' washabiki na wamiliki wa simba ( wale wahindi wale) walimshutumu sana huyu dogo kuwa alicheza chini cha kiwango, alikuwa anachelewa sana kutoa pasi, alikuwa amwagi 'maji' alikuwa anakaa na mpira etc kitu ambacho kilimchukiza sana huyu dogo, kama ame opti kuondoka kweny litim lenu hilo la ovyo ovyo tatizo ni nyie mikia wenyewe
 
Ila kwa bongo sishangai,yote yanawezekana.kama iliwezekana kwa shishimbi inashindwaje kwa chama,nani kaona akisaini mkataba.tatizo soka la bongo ukanjanja mwingi hakuna uwazi,wamejaa wapiga dili tu.
Shishimbi kamaliza mkataba wake
 
Sie timu letu la ovyo linashika nafasi ya ngapi kwenye ligi na wewe timu lako bora linashika nafasi ya ngapi? Tuanzie hapo kwanza!
 
Sisi humu ni GTs,ni marufuku kukurupukia vitu. Uzushi tuwaachie wazushi.

Chama anaweza kuachiwa kwa timu kubwa ya nje tu na ni kwa kuvunja mkataba

View attachment 1400859
Huyu ni Chama baada ya kuongeza mkataba
Yaan screenshot ya 1 july 2019 ndo inakufariji. Its 2020 dude anything can happen ni suala la pesa tu kama kuna timu nje inamtaka si inavunja kibubu tu kisha anaondoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama dau limefikiwa si tatizo. Pesa ndio kila kitu, team ziweke mzigo kumvunjia mkataba hata yanga kama wanaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…