Cloutus Chama anaondoka Simba

Sisi humu ni GTs,ni marufuku kukurupukia vitu. Uzushi tuwaachie wazushi.

Chama anaweza kuachiwa kwa timu kubwa ya nje tu na ni kwa kuvunja mkataba

View attachment 1400859
Huyu ni Chama baada ya kuongeza mkataba
Hata huyo tshishimbi mnaemkimbilia alisaini mwaka Jana miaka miwili ila Leo mnafurahia kusikia yuko free na anataka kuja kwenu. Mnakomaa nankibanzi kilichopo jichoni mwa jirani yenu!
 
Chama kama anaenda mwingine sawa ila kwetu sisi Yanga sioni namba ya chama mana tuna mafundi Wa kutosha tu na chama ni Mzee, na namba ya chama si hitaji la yanga
 
Shishimbi kamaliza mkataba wake
Kakuonesha? Mwaka Jana alisaini na kutuambia ameongeza miaka miwili ila Leo mnakomaa kusema chama bado ana mwaka mmoja simba na tshishimbi amemaliza mkataba wake. Yaweza kuwa ni same scenario hii ni bongo
 
Amesema yeye mwenyewe juzi kwenye interview yake na global tv ya kuwa mkataba wake amebakisha miezi michache. Itafuta uiangalie. Sio Mimi mkuu😂
 
Hata huyo tshishimbi mnaemkimbilia alisaini mwaka Jana miaka miwili ila Leo mnafurahia kusikia yuko free na anataka kuja kwenu. Mnakomaa nankibanzi kilichopo jichoni mwa jirani yenu!
hapa shishimbi kaingiaje,huyu vipi. jibu fact zilizoweka kuhusu Chama
 
Yaan screenshot ya 1 july 2019 ndo inakufariji. Its 2020 dude anything can happen ni suala la pesa tu kama kuna timu nje inamtaka si inavunja kibubu tu kisha anaondoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatozo ni 2019 au tatizo ni screenshot inasemaje?Kwamba Yanga inaweza kuvunja mkataba wa Chama na Simba.Kunywa maji mengi bro kichwa itulie
 
Chama kama anaenda mwingine sawa ila kwetu sisi Yanga sioni namba ya chama mana tuna mafundi Wa kutosha tu na chama ni Mzee, na namba ya chama si hitaji la yanga
Kama nyonzima alikuwa anawekwa bench na chama Simba wakati kwenu ameingia moja kwa moja kikosi Cha kwanza mbona mnahangaika na kina ndemla na mpilipili ambao hawana namba Simba kwa kifupi mnawatamani Ila uwezo hamna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…