Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Baada ya Baleke sasa ni Chama ........ tutasikia mengi kwenye usajili mwaka huu🙂Dah...!
Young African washambeba Chama kiulaini.
Chama amekubali kwenda kwa Mkude.
Tunasubiria announcement tu....
Ila poa tu, aende tu, walipita wengi, now hawapo.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
chama anaangalia pesa hapendi Simba kama unavyo penda wewe.Hata alipokuwa Berkane mlipiga kelele hivyo hivyo! Mwisho wake akaelekea timu kubwa! We unafikiri ye chama hana akili! Akuna mchezaji asiependa kucheza Super leage! Hata mayele kaliona hilo!
Anamaliza mkataba na Simba mwakani mwezi wa 6.Dah...!