Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Wameongea kiswahili?Nimeogopa sana maneno hayo, iwe mvua iwe jua imekuwa ya Mwarabu, lazima ashinde huo mchezo.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Usually a woman is afraid when a man goes to war.Nimeogopa sana maneno hayo, iwe mvua iwe jua imekuwa ya Mwarabu, lazima ashinde huo mchezo.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Sio kwa wale waarabu..Hata mbumbumbu fc kabla ya mechi yao na Yanga huwa wana kawaida ya kuleta tambo, ila mwisho wa siku wanaishia kuangukia pua.
Kesho mnamanuliwa mapemaaaaHata mbumbumbu fc kabla ya mechi yao na Yanga huwa wana kawaida ya kuleta tambo, ila mwisho wa siku wanaishia kuangukia pua.