Mhaya JF-Expert Member Joined Aug 20, 2023 Posts 2,818 Reaction score 7,940 Sep 14, 2026 #1 Club Africain ya Tunisia yaomba kubadilishuwa uwanja dhidi ya TP Mazembe kwa kisingizio cha Ugonjwa wa Ebola, mechi hiyo ilipangwa kupigwa pale Lubumbashi ila Club Africain wametaka uwanja ubadilishwe
Club Africain ya Tunisia yaomba kubadilishuwa uwanja dhidi ya TP Mazembe kwa kisingizio cha Ugonjwa wa Ebola, mechi hiyo ilipangwa kupigwa pale Lubumbashi ila Club Africain wametaka uwanja ubadilishwe
bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 10,880 Reaction score 24,933 Sep 14, 2026 #2 Waarabu hua wanajiona first class, Mazembe wamecheza na Medeama juzi hakukua na malalamiko
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 19,101 Reaction score 31,995 Sep 14, 2026 #3 Wawalete kwa Mkapa
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 11,884 Reaction score 21,175 Sep 14, 2026 #4 Wako sahihi
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,646 Reaction score 36,604 Sep 14, 2026 #5 Wanatapa tapa sababu wanajua Tp mazembe anawajulia kuwanyoosha waarabu pale lubumbashi
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Sep 14, 2026 #6 Watapigwa tu. Hakuna timu hapo. Kufuzu kwenyewe hatua ya pili ni kwa tia maji tia maji! Halafu unakutana Tp Mazembe ya moto.
Watapigwa tu. Hakuna timu hapo. Kufuzu kwenyewe hatua ya pili ni kwa tia maji tia maji! Halafu unakutana Tp Mazembe ya moto.