Les grandes équipes! The champions ! Huu wimbo unaamsha morali kubwa sana ya kucheza mpira wa miguu. Ikipigwa watu wengine mpaka wanalia kwa hisia kali na wakitoka hapo wana vaibu la kukata na shoka. Ninaukubali sana watu wanaimba kwa sauti ya juu sana kwa hisia kali huu wimbo ni mzuri sana !!!! [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]