Club Billicanas na Security Camera?za Nini au kuna michezo ya kamari humo ndani?

Gembe

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2007
Posts
2,483
Reaction score
164
i15_a7.jpg

Bilicans wameweka camera.Sasa sijui ni kwa ajili gani?unaweza angalia kwa makini picha hii niliyoitoa kwa michuzi.Nilisiakia Club hii imefunguliwa Jana hivyo nikaamua kupita katika Blog kupata Picha...

Lunyungu,
Haujapata wassa wa kutembelea hapo?
 
Last edited by a moderator:
Lunyungu,
Haujapata wassa wa kutembelea hapo?
Lunyungu na club wapi na wapi...Anyway bado yupo Russia na vodka zake...

i15_a7.jpg

Natumai hizo kamera ni kwa ajili ya usalama wa ukumbi na hao wanaoingia humo... Aidha naona ukumbi wenyewe haujakamilika vema, kuna uwazi katika ceiling na huo waya unaotambaa kwenye ceiling unashusha hadhi ya ukumbi...umewekwa kienyeji sana
 
Huo waya unatia kichefchef siyo siri!
 
gembe...clubs all round the world zina camera...unashangaa nini ..mbona za huku US na UK hamna casino lakini camera ni kuanzia mlangoni mpaka ndani...its for security reasons!! piga mtu kisu , camera ikunase...ndo maendeleo hayo...big up bills...at least bongo tunaweza kujivunia sasa!!
 
Mkuu kapinga that is true lakini huwa haziwi open kama hii, kunatakiwa kufanyike utaalam wa kiklab klab kuikamaflaje camera hiyo, au kama vp kwa nini wasitumie ile aina ya taa, ambayo ni easy and smooth!!!!!!!!!
 
Nilisema hivyo,
Sababu Lunyungu yupo kila mahali anaweza kuwa na taarifa,Mkulu Nyambala Mie sikwenda mbali sana ..inaonekana wewe ni mtaalam wa mambo ya umeme.

Mie niliangalia mambo yanayonihusu.Kikawaida kamera hizi hukaa mwanzoni mwa mlango kuangali watu wanaoingia na kutoka ila kama zimewekwa ndani najiulioza ni kwa sababu zipi?

Naamini watakuwa wameona makosa madogo madogo..inabidi huo waya waurekebishe
 
Mkuu kapinga that is true lakini huwa haziwi open kama hii, kunatakiwa kufanyike utaalam wa kiklab klab kuikamaflaje camera hiyo, au kama vp kwa nini wasitumie ile aina ya taa, ambayo ni easy and smooth!!!!!!!!!

camera ni camera...hamna regulations zinazosema inside a club zinabidi zijifiche..either way mtu utaonekana tuu and thats the purpose..lets give credit when its due jamani!! this is a job well done..i hope it will open doors for others in the entertainment industry to upgrade places like maisha nite club etc...yani bills took a yr off but from next month masaki kutakuwa kweupe!!
 
Nyambala..

zipo ssa hivi zinakuwa kama nguzo ya ukuta kumbe ni camera,zinawekwa sana sana katika maeno ya usalama.Mkuu ICADOn anaweza kuleta Picha zaidi kuhusiana na haya..

Unaweza ukaenda sehemu kama white house na usione CCTv ila wanakuona.Wangeweka zile za ukutani basi ingekuwa ni sahihi..

Between the line:Hauwezi kugundua kamera hizo kama siyo mtaalam,Mie nilishajua sasa..Nadhani ziatasaidida sana kwa watu wa POLISI incase kama kukitokea Fujo.

Picha za ajabu ajabu zitaweza kupatikana.Watu wawe waangalifu sana wakiwa ndani ya club hiyo MPya
 
camera ni camera...hamna regulations zinazosema inside a club zinabidi zijifiche..either way mtu utaonekana tuu and thats the purpose..lets give credit when its due jamani!! this is a job well done..i hope it will open doors for others in the entertainment industry to upgrade places like maisha nite club etc...yani bills took a yr off but from next month masaki kutakuwa kweupe!!

Masaki kunabomolewa au..I dont get you?
 
camera ni camera...hamna regulations zinazosema inside a club zinabidi zijifiche..either way mtu utaonekana tuu and thats the purpose..lets give credit when its due jamani!! this is a job well done..i hope it will open doors for others in the entertainment industry to upgrade places like maisha nite club etc...yani bills took a yr off but from next month masaki kutakuwa kweupe!!

Na hakuna regulations zinazosema lighting kwenye klb ziwe na mwanga wa kufifia, au kuwa na ile strobe-effect, au hata zile rangi rangi. Kumbuka hata kama unafahamu kwamba u r being watched basi at least the watcher or the watching media iwe ya kitaalam kidogo. Kumbuka ni version ya ngapi ya camera uionayo hapo. Why they keep changng?????

All in all, mimi binafsi sipingi kwamba bilz wanastahili kupongezwa kwa hii initiative, ila hii ni angalizo tu!!!
 
Gembe, kama umefikia hatua ya kushangaa security camera ni za nini dnani ya ukumbi, naanza kukushangaa
 
Unanishangaa kwa sababu zipi,ama kwa kuwa nimejadili ukumbi wa mtu mwenye Maslahi na wewe?

Mie nauliza zina kazi gani?Kama wewe ndiyo Msemaji wa Mke wa Mbowe ambeye ndiyo Mkurugenzi basi jibu sasa na siyo kushangaa mambo nayouliza.
 
We Gembe mshamba sana. Eti security camera billicanas za nini? Si za security.....
 
Mie nauliza zina kazi gani?Kama wewe ndiyo Msemaji wa Mke wa Mbowe ambeye ndiyo Mkurugenzi basi jibu sasa na siyo kushangaa mambo nayouliza.
Wewe msemaji wa Polisi?
Nyambala..

zipo ssa hivi zinakuwa kama nguzo ya ukuta kumbe ni camera,zinawekwa sana sana katika maeno ya usalama.Mkuu ICADOn anaweza kuleta Picha zaidi kuhusiana na haya..

Unaweza ukaenda sehemu kama white house na usione CCTv ila wanakuona.Wangeweka zile za ukutani basi ingekuwa ni sahihi..

Picha za ajabu ajabu zitaweza kupatikana.Watu wawe waangalifu sana wakiwa ndani ya club hiyo MPya
Watu wengine bwana Bills ni White house? club ya maraha unaifananisha na white house wewe kweli gembe.....
umezinulia bango kamera kwa wewe unaotorosha watoto wa watu kwenda nao disko utakoma..... next siku unakuta clip utamu
 
Msije kukuta video zenu TMZ tuu.

Na tunvyofahamu jinsi maadili yalivyomomonyoka bongo unaweza kukuta mzee video yako na kanyumba kadogo of the day amepostiwa bi mdogo.......lol
 
Nyani Ngabu,

Ushamba wangu umetoka wapi..?ina maana kila mtu akiuliza swali ni Mshamba?au ndiyo kasumba yetu watanzanzania...Ndivyo tulivyo?
 
Last edited:
Mkuu camera kuwepo ni sawa tu ilimradi wasiwe wameweka na washing room 🙂
 
i15_a7.jpg

Bilicans wameweka camera.Sasa sijui ni kwa ajili gani?unaweza angalia kwa makini picha hii niliyoitoa kwa michuzi.Nilisiakia Club hii imefunguliwa Jana hivyo nikaamua kupita katika Blog kupata Picha...

Lunyungu,
Haujapata wassa wa kutembelea hapo?

Kwani Michezo ya Kamari ni KOSA
 
Back
Top Bottom