Lunyungu na club wapi na wapi...Anyway bado yupo Russia na vodka zake...Lunyungu,
Haujapata wassa wa kutembelea hapo?
Lunyungu na club wapi na wapi...Anyway bado yupo Russia na vodka zake...
Natumai hizo kamera ni kwa ajili ya usalama wa ukumbi na hao wanaoingia humo... Aidha naona ukumbi wenyewe haujakamilika vema, kuna uwazi katika ceiling na huo waya unaotambaa kwenye ceiling unashusha hadhi ya ukumbi...umewekwa kienyeji sana
gembe...clubs all round the world zina camera...unashangaa nini ..mbona za huku US na UK hamna casino lakini camera ni kuanzia mlangoni mpaka ndani...its for security reasons!! piga mtu kisu , camera ikunase...ndo maendeleo hayo...big up bills...at least bongo tunaweza kujivunia sasa!!
Mkuu kapinga that is true lakini huwa haziwi open kama hii, kunatakiwa kufanyike utaalam wa kiklab klab kuikamaflaje camera hiyo, au kama vp kwa nini wasitumie ile aina ya taa, ambayo ni easy and smooth!!!!!!!!!

camera ni camera...hamna regulations zinazosema inside a club zinabidi zijifiche..either way mtu utaonekana tuu and thats the purpose..lets give credit when its due jamani!! this is a job well done..i hope it will open doors for others in the entertainment industry to upgrade places like maisha nite club etc...yani bills took a yr off but from next month masaki kutakuwa kweupe!!
Masaki kunabomolewa au..I dont get you?
camera ni camera...hamna regulations zinazosema inside a club zinabidi zijifiche..either way mtu utaonekana tuu and thats the purpose..lets give credit when its due jamani!! this is a job well done..i hope it will open doors for others in the entertainment industry to upgrade places like maisha nite club etc...yani bills took a yr off but from next month masaki kutakuwa kweupe!!
Gembe, kama umefikia hatua ya kushangaa security camera ni za nini dnani ya ukumbi, naanza kukushangaa
Wewe msemaji wa Polisi?Mie nauliza zina kazi gani?Kama wewe ndiyo Msemaji wa Mke wa Mbowe ambeye ndiyo Mkurugenzi basi jibu sasa na siyo kushangaa mambo nayouliza.
Watu wengine bwana Bills ni White house? club ya maraha unaifananisha na white house wewe kweli gembe.....Nyambala..
zipo ssa hivi zinakuwa kama nguzo ya ukuta kumbe ni camera,zinawekwa sana sana katika maeno ya usalama.Mkuu ICADOn anaweza kuleta Picha zaidi kuhusiana na haya..
Unaweza ukaenda sehemu kama white house na usione CCTv ila wanakuona.Wangeweka zile za ukutani basi ingekuwa ni sahihi..
Picha za ajabu ajabu zitaweza kupatikana.Watu wawe waangalifu sana wakiwa ndani ya club hiyo MPya
Msije kukuta video zenu TMZ tuu.
Bilicans wameweka camera.Sasa sijui ni kwa ajili gani?unaweza angalia kwa makini picha hii niliyoitoa kwa michuzi.Nilisiakia Club hii imefunguliwa Jana hivyo nikaamua kupita katika Blog kupata Picha...
Lunyungu,
Haujapata wassa wa kutembelea hapo?