Club bingwa africa(bonge la fainali)

Club bingwa africa(bonge la fainali)

Naichungulia hapa
Screenshot_20181109-232158.jpeg
 
well done boyz #saad_bguir & Anice badri
 
Ila waarabu kwa figisu noma.. Wa misri waliwafanyia wenzao figisu game ya kwanza leo waandishi wa habari wa misri wamegomewa kuzama uwanjani.

Baada ya goli ya tatu watunisia wameanza kuingiza mipira miwili miwili uwanjani kupoteza mda na kashi kashi za hapa na pale.
 
Back
Top Bottom