Club Brugge inanipigia kibonde Real Madrid

Club Brugge inanipigia kibonde Real Madrid

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3,411
Reaction score
4,435
natamatani wapigww hata 5.

kipara anajiona mjuaji sana.

angejijua asingerudi, amekuja kujidhalilisha.

piga haoo
Screenshot_20191001-203618.jpeg
 
Tena goli zote mbili wamefungwa na mNigeria

Ila watapindua meza tu (alisikika shabiki wa madrid in shabiki wa yanga's voice)
cha pili naona hawa madogo wa club brugge wameshadevela, meza inaweza Ikapinduka kweli
 
```TEAM Gp Gd P
PSG 1 +3 3
Club Brugge 2 0 2
Galatasaray 1 0 1
Real Madrid 2 -3 1
```
 
Back
Top Bottom